Ratiba za Meli/Boti baina ya Dar es salaam, Zanzibar, Pemba na Tanga

Maelezo

Chanzo: zenjishoppazz



Tarehe Iliyotolewa: 2017-09-02


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Coastal zones
Imetembelewa mara! 92894 ... Deadline: 2020-12-12 00:00:00

RATIBA ZA SAFARI ZA MELI ZANZIBAR NA NAULI ZAKE

(ZANZIBAR FERRY ROUTES AND FARES)

Zenjishoppazz imekuandalia utaratibu mzima wa safari za boti ambazo husafirisha abiria na mizigo baina ya Dar es salaam, Pemba, Tanga na Unguja. Hii ni kutokana na kuongezeka kwa wasafiri katika maeneo hayo na hivyo basi mara kwa mara watu hudadisi kuhusu utaratibu wa usafiri wa boti/meli hizo. Tafadhali wajulishe uwapendao kwa kushare kiunganishi kwenye whattsapp, facebook, twitter, email na sehemu nyenginezo ili watu waweze kupata taarifa hizi muhimu.

 

  1.        BOTI ZA AZAM (AZAM FAST FERRIES)

KUKATA TIKETI (BOOKING):

  • Mtandaoni (Online booking): Unaweza kufanya booking online kupitia kiunganishi hiki (book online through this link) http://booking.azammarine.com/book/NewBooking.aspx/SearchJourney
  • Ofisini (At Azam offices): Zinapatikana katika maeneo ya bandari (Zanzibar Ferry Terminal) kwa Dar es salaam na maeneo ya bandari Zanzibar (Conveniently located at the Zanzibar Ferry Terminal in Dar es salaam, or close to the Zanzibar Port Corporations in Zanzibar)

Kilimanjaro boat

Kilimanjaro sundeck

Kilimanjaro ndani

Kilimanjaro VIP

Angalizo (Note):

  1.        Kulipia ni katika ofisi za Azam, (payments are offline at the Azam offices).
  2.         Kwa wanaokata tiketi kwenye mtandao malipo yanatakiwa yafanyike ndani ya masaa matatu kabla ya safari, vyenginevyo tiketi itabatillishwa. (Those booking online are to complete their payments three hours before the voyage, otherwise the booking will be canceled)
  3.        Unashauriwa kukata tiketi yako mapema kabla ya safari ili kuepuka walanguzi bandarini (You are advised to book your ticket early enough before the journey to avoid cheaters at the terminal)

 

JINA LA MELI (NAME): AZAM SEA LINK 1                                                               

UKUBWA (DIMENSIONS): UREFU MITA 100 UPANA MITA 17

UWEZO WA ABIRIA (PASSENGERS CAPACITY): WATU 1200

UZITO (GRT): TANI 997

SAFARI (ROUTES): BETWEEN UNGUJA, PEMBA AND DAR ES SALAAM              

INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): BINAFSI (PRIVATELY OWNED BY AZAM MARINE)

Sealink 1

Sealink 1 First class

Sealink 1 First class

 

SIKU

(DAY)

KUTOKA

(FROM)

KWENDA

(TO)

MUDA KUONDOKA

(DEPATURE TIME)

MUDA KUFIKA

(ARRIVAL TIME)

NAULI (TZS)

 

(PRICE ECONOMY CLASS)**

Jumapili

(Sunday)

PEMBA

UNGUJA

SAA 1:00

ASUBHI

SAA 8:30 MCHANA

20,000

Jumatatu

(Monday)

 

 

 

 

 

 

 

Jumane

(Tuesday)

DAR ES SALAAM

UNGUJA

SAA 12:00 JIONI

SAA 12:00

ASUBUHI

20,000

Jumatano

(Wednesday)

UNGUJA

PEMBA

SAA 4:00

ASUBUHI

SAA 10:00

JIONI

20,000

 

 

Alkhamis

(Thursday)

 

 

 

 

 

 

 

 

Ijumaa

(Friday)

DAR ES SALAAM

UNGUJA

SAA 4:00 USIKU

SAA 12:00

ASUBUHI

20,000

Jumamosi

(Saturday)

UNGUJA

PEMBA

SAA 4:00

ASUBUHI

SAA 10:00

JIONI

20,000

**FIRST CLASS FARE IS TZS

 

 

 

JINA LA MELI (NAME): AZAM SEA LINK 2                                                               

UKUBWA (DIMENSIONS): UREFU MITA 100 UPANA MITA 17

UWEZO WA ABIRIA (PASSENGERS CAPACITY): WATU ZAIDI YA 1000

UZITO (GRT): TANI 717

SAFARI (ROUTES): BETWEEN UNGUJA(ZANZIBAR), PEMBA AND TANGA              

INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): BINAFSI (PRIVATELY OWNED BY AZAM MARINE)

Sealink 2

 

SIKU

(DAY)

KUTOKA

(FROM)

KWENDA

(TO)

MUDA KUONDOKA

(DEPATURE TIME)

MUDA KUFIKA

(ARRIVAL TIME)

NAULI (TZS)

 

(PRICE ECONOMY CLASS)**

Jumapili

(Sunday)

PEMBA

TANGA

SAA 1:00 ASHUBUHI

(7:00 AM)

SAA 5:00 ASUBUHI

(11:00 AM)

20,000

 

Jumatatu

(Monday)

 

 

 

 

 

Jumane

(Tuesday)

TANGA

PEMBA

 

 

SAA 1:00 ASUBUHI

(7:00 AM)

SAA 3:30

ASUBUHI

(9:30 AM)

20,000

PEMBA

UNGUJA

SAA 3:30 ASUBUHI

(9:30 AM)

SAA 10:00 JIONI

(4:00 PM)

20,000

 

 

Jumatano

(Wednesday)

 

 

 

 

 

Alkhamis

(Thursday)

UNGUJA

PEMBA

SAA 4:00

ASUBUHI

(10:00 AM)

SAA 10:00

JIONI

(4:00 PM)

20,000

Ijumaa

(Friday)

 

 

 

 

 

Jumamosi

(Saturday)

 

 

 

 

 

**FIRST CLASS FARE IS TZS

 

 

JINA LA MELI (NAME): AZAM FAST FERRIES                                                         

  1.        KILIMANJARO III (): UWEZO ABIRIA 540 (VIP 74, ECONOMY 466), SPEED 32 Knots
  2.        KILIMANJARO IV (SPIRIT OF THE UNION): UWEZO ABIRIA 620 (VIP 84, BUSINESS 86, ECONOMY 466), SPEED 35 Knots
  3.        KILIMANJARO V ():
  4.        KILIMANJARO VI (LADY OF ZANZIBAR):                                                         

SAFARI (ROUTES):  UNGUJA (ZANZIBAR) AND DAR ES SALAAM KILA SIKU          

INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): BINAFSI (PRIVATELY OWNED BY AZAM)

 

 

KILA SIKU

(DAILY)

NAULI (FARE)

AINA YA ABIRIA

(CATEGORY)

ECONOMY

BUSINESS

VIP

ROYAL

 

WAKAAZI (RESIDENTS)

WAKUBWA (miaka 10 na kuendelea)

ADULT (10 Years and Older)

TZS 25,000

TZS 35,000

TZS 50,000

TZS 60, 000

WATOTO

(CHILDREN)

TZS 10,000

TZS 35,000

TZS 50,000

TZS 60, 000

 

WAGENI

(NON RESIDENTS)

ADULT (10 Years and Older)

USD 35

USD 40

USD 50

USD 60

CHILDREN

USD 25

USD 40

USD 50

USD 60

 

RATIBA  KILA SIKU (DAILY SCHEDULES)

MAHALI

(PLACE)

KUONDOKA

(DEPATURE)

KUWASILI

(ARRIVAL)

DAR ES SALAAM

/

ZANZIBAR

SAA 1:00 ASUBUHI (7:00 AM)

SAA 3:00 ASUBUHI (9:00 AM)

SAA 3:30 ASUBUHI (9:30 AM)

SAA 5:30 ASUBUHI (11:30 AM)

SAA 6:30 MCHANA (12:30 PM)

SAA 8:30 MCHANA (2:30 PM)

SAA 10:00 JIONI (4:00 PM)

SAA 12:00 JIONI (6:00 PM)

 

 

               

 

2.        MELI ZA SHIRIKA LA MELI ZANZIBAR (ZANZIBAR SHIPPING CORPORATION BOATS)

KUKATA TIKETI (BOOKING): Tiketi zinakatwa katika ofisi za shirika la meli la zanzibar na katika mawakala binafsi wanaopatikana Darajani, na Bandarini Unguja, Chake chake, Wete Na Mkoani Pemba (Epuka walanguzi, kata tiketi yako mapema katika ofisi zinazotambulikana ili kuepuka usumbufu)

(Booking is done at the Zanzibar Shipping Corporation offices, and private ticketing agencies in Zanzibar town and Chake chake, Wete and Mkoani for Pemba)

JINA (NAME): MV MAPINDUZI II                                                                               

UKUBWA (DIMENSIONS): UREFU MITA 90 UPANA MITA 3.39

UWEZO WA ABIRIA (PASSENGERS CAPACITY): WATU 1200

UZITO: TANI 5000

SAFARI (ROUTES): BETWEEN UNGUJA AND PEMBA ISLANDS

INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): PUBLIC (GOVERNMENT OWNED OPERATED BY SHIPCO)

Mapinduzi 2

 

SIKU

(DAY)

KUTOKA

(FROM)

KWENDA

(TO)

MUDA KUONDOKA

(DEPATURE TIME)

MUDA KUFIKA

(ARRIVAL TIME)

NAULI (TZS)

 

(PRICE ECONOMY CLASS)**

Jumapili

(Sunday)

 

 

 

 

 

 

Jumatatu

(Monday)

UNGUJA

PEMBA

SAA 1:30 ASUBUHI

(7:30 AM)

SAA 7:30

MCHANA

(1:30 PM)

18,000

Jumane

(Tuesday)

PEMBA

UNGUJA

SAA 1:30 ASUBUHI

(7:30 AM)

SAA 7:30

MCHANA

(1:30 PM)

18,000

 

 

Jumatano

(Wednesday)

 

 

 

 

 

Alkhamis

(Thursday)

 

 

 

 

 

 

 

Ijumaa

(Friday)

UNGUJA

PEMBA

SAA 1:30 ASUBUHI

(7:30 AM)

SAA 7:30

MCHANA

 

18,000

Jumamosi

(Saturday)

PEMBA

UNGUJA

SAA 1:30 ASUBUHI

(7:30 AM)

SAA 7:30

MCHANA

18,000

**FIRST CLASS FARE IS TZS

 

3.       JINA LA MELI (NAME): FLYING HORSE                                                    

KUKATA TIKETI (BOOKING): Tiketi za safari zinakatwa katika ofisi zao bandarini kwa dar es salaam, na Zanzibar pia. (Booking is done at their offices located at Zanzibar Ferry Terminal in Dar es salaam and Zanzibar)

UKUBWA (DIMENSIONS): UREFU MITA 37 UPANA MITA 13

UWEZO WA ABIRIA (PASSENGERS CAPACITY): WATU ZAIDI YA 1000

UZITO (GRT): TANI 563

SAFARI (ROUTES): BETWEEN ZANZIBAR (UNGUJA) AND DAR ES SALAAM

INAMILIKIWA NA (OWNERSHIP): BINAFSI (PRIVATELY OWNED BY HABIB ZM - ZANZIBAR, TANZANIA)

 

Flying horse

Flying horse

SIKU

(DAY)

KUTOKA

(FROM)

KWENDA

(TO)

MUDA KUONDOKA

(DEPATURE TIME)

MUDA KUFIKA

(ARRIVAL TIME)

NAULI (TZS)

 

(PRICE ECONOMY CLASS)**

 

KILA SIKU (DAILY)

DAR ES SALAAM

ZANZIBAR

SAA 6:00 MCHANA

(12:00 PM)

SAA 11:00 JIONI

(5:00 PM)

20,000

ZANZIBAR

DAR ES SALAAM

 

 

SAA 3:30 USIKU

(9:30 PM)

SAA 12:00

ASUBUHI

(6:30 AM)

20,000

**FIRST CLASS FARE IS TZS

 



Download

Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English