Nafasi za Kazi Ardhi

Maelezo

Chanzo: Utumishi TanzaniaTarehe Iliyotolewa: 2020-01-07


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 4184 ... Deadline: 2020-01-18 15:30:00

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA 

Kumb. Na EA.7/96/01/K/139 

04 Januari, 2020 

 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

 

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo... 

 

PLEASE DOWNLOAD PDF FILE HERE

 Download

Share via Whatsapp

Advertise a product

©2020 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English