Habari Muhimu ...timiza ndoto zako!
1. TCU new admission procedures
Change of Procedure for Admissions to Undergraduate Programmes for 2017/18 Academic Year. The Tanzania Commission for Universities wishes to inform all the prospective applicants for admission into various undergraduate degree programs, all Higher Learning Institutions, stakeholders and the....Chanzo: TCU
Tarehe ya kutolewa: 2017-05-24
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 7486...Deadline: 2017-09-29 00:00:002. Mkopo Elimu ya juu Zanzibar (ZHELB)
TANGAZO ELEKEZI KUHUSU KUOMBA MKOPO ZANZIBAR Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inawatangazia wanafunzi wote wanaohitaji kujiendeleza katika fani mbalimbali za Elimu ya Juu kuwa fomu za maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2017/18 zitaanza kutolewa kwa miezi mitatu kuanzia....Chanzo: ZHELB
Tarehe ya kutolewa: 2017-05-02
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 18813...Deadline: 2017-07-31 00:00:003. Kozi zilizopewa kipau mbele bodi ya mikopo Zanzibar (ZHELB)
BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU ZANZIBAR FANI ZA VIPAUMBELE WA KIPINDI CHA 2016 - 2020 Tume ya Mipango ya SMZ imetoa taarifa kuhusu utafiti uliofanywa juu ya hali ya utumishi nchini ambayo imeonesha uwepo wa mahitaji makubwa ya wataalamu. Taarifa hiyo imeibua maeneo ya Vipaumbele vya SMZ juu ya....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2017-04-21
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 18771...Deadline: 2017-12-31 00:00:00