Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi ya Kazi Tarishi Zanzibar University
NAFASI ZA KAZI. Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) Kinatangaza nafasi ya kazi ya Tarishi. Sifa za mwombaji: Awe na cheti cha sekondari (kidato cha nne); Awe na uwezo wa kufanya kaz ikwa kujitegemea kulingana na maelekezo atakayopewa; Awe....Chanzo: ZU Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-15
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 12542...Deadline: 2018-09-20 15:30:00
2. Nafasi ya Kazi Administrative Officer Zanzibar University Pemba
Applications are invited from suitably qualified persons to fill the vacant post of Administrative Officer of Zanzibar University - Pemba campus. Qualifications: An applicant must be a holder of a degree in Public Administration, Human Resources, Law, Business....Chanzo: ZU Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-15
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 7455...Deadline: 2018-09-20 15:30:00
3. Nafasi za Kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:- 1.Mhandisi Ujenzi (Civil Engineers) Daraja la II “Nafasi 3” – Unguja “Nafasi 2 Pemba” Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-09
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 17098...Deadline: 2018-09-13 15:30:00
4. Nafasi Ya Kazi Technical Field Implementer ICT
Business / Employer name D-tree International Company Industry NGO Job Level Mid level Work Type Full Time Minimum Qualification Diploma Years of Experience 2 years Location Other Zanzibar District Zanzibar Description Reports to: Program....Chanzo: Zoom Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-04
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 9963...Deadline: 2018-09-24 15:30:00
5. Nafasi za Kazi DMI, IAA na TFDA
On behalf of Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), Institute of Accountancy Arusha (IAA) and Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 25 vacant posts as mentioned below; BOFYA HAPA KUPAKUA....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-28
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 15492...Deadline: 2018-09-06 15:30:00
6. Nafasi za Kazi ofisi ya Mufti Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Mufti kama ifuatavyo:- 1.Afisa Fat-wa Daraja la II “Nafasi 1” Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe na elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Sheria au masomo ya Kiislamu....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-28
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 14808...Deadline: 2018-08-31 15:30:00
7. Nafasi za Kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Nyumba Maji na Nishati Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. Mtunza Ghala Daraja la III “Nafasi 1” – Unguja na “Nafasi 1” Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. •....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-20
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 15528...Deadline: 2018-08-24 15:30:00
8. Nafasi za Kazi wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale kama ifuatavyo:- IDARA YA UENDESHAJI NA UTUMISHI: 1.Karani Masjala Daraja la III “Nafasi 2” Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe na elimu....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-20
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 24552...Deadline: 2018-08-24 15:30:00
9. Nafasi za Kazi Tanzania Railways Corporation
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/J/187 15th August, 2018 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of the Tanzania Railways Corporation (TRC) President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-15
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 17625...Deadline: 2018-08-29 15:30:00
10. Nafasi za Kazi Deputy Vice Chancellors (SUZA)
THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR VACANCIES ANNOUNCEMENT DEPUTY VICE-CHANCELLORS The Council of State University of Zanzibar seeks to recruit Deputy Vice-Chancellors (Academic, Research and Consultancy and Planning, Finance and Administration) from suitably qualified individuals with excellent....Chanzo: SUZA Web
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-15
Mahali pa kazi/tukio: SUZA Imetembelewa mara 13611...Deadline: 2018-08-20 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2022-06-27 05:01:48Dawa ya asili ya moyo/moyo kutanuka/kutanuka kwa misuli ya moyo/shambulio la moyo/moyo kufeli
Imeangaliwa
2022-06-27 00:32:43Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
