Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
1. Nafasi za Kazi Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko kama ifuatavyo:- 1. Afisa Mipango Daraja la II “Nafasi 1” Unguja Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya katika fani ya Mipango au....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-25
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16100...Deadline: 2018-08-01 15:30:00
2. Nafasi za Kazi NBS, UCSAF, TAA, KCMC na FCC
Bofya hapo chini ili kupakua faili la pdf kwa ajili ya nafasi za kazi zilizotajwa Nafasi za Kazi Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Nafasi za Kazi UCSAF, TAA, KCMC na FCC ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 15872...Deadline: 2018-07-24 15:30:00
3. Nafasi za Kazi Internal Auditor na Librarian Zanzibar University
VACANT POSTS Applications are invited from suitably qualified persons to fill the vacant posts of Internal Auditor and Librarian at Zanzibar University, which is based in Tunguu. I. Internal Auditor ....Chanzo: ZU website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar University Imetembelewa mara 18512...Deadline: 2018-07-30 15:30:00
4. Nafasi za Kazi Shirika la Huduma za Maktaba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Shirika la Huduma za Maktaba kama ifuatavyo:- 1. Mkutubi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 2” - Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Stashahada katika fani ya ‘Ukutubi’ kutoka....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-12
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 15828...Deadline: 2018-07-17 15:31:00
5. Nafasi za kazi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kama ifuatavyo:- 1. Afisa Usajili wa Wilaya Daraja la II “Nafasi 11” (Nafasi moja kwa kila Wilaya Unguja na Pemba) Sifa za Waombaji: • Awe ni....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-10
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 11502...Deadline: 2018-07-13 15:30:00
6. Nafasi za Kazi Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Unguja kama ifuatavyo:- 1. Afisa mipango Daraja la II “Nafasi 3” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-06
Mahali pa kazi/tukio: Unguja Imetembelewa mara 24159...Deadline: 2018-07-11 15:30:00
7. Nafasi za Kazi Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Unguja
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- KITUO CHA KULELEA WATOTO MAZIZINI 1. Wapishi Daraja la III “Nafasi 2” Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. • Awe....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-06
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16946...Deadline: 2018-07-11 15:30:00
8. Nafasi za kazi Rural Energy Agency (REA)
BOFYA HAPA KUPAKUA FAILI LA NAFASI ZA KAZI ZA REA ....Chanzo: Utumishi Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-05
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 11719...Deadline: 2018-07-18 16:00:00
9. Nafasi za kazi MOI, VETA, KEC na Shirika la Mizinga
BOFYA HAPA KUPAKUA NAFASI ZA KAZI ZA MOI, VETA na KEC BOFYA HAPA KUPAKUA NAFASI ZA KAZI SHIRIKA LA MIZINGA ....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-02
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 12993...Deadline: 2018-07-13 16:00:00
10. Nafasi za Kazi SUMAIT University Zanzibar
ABDULRAHMAN AL SUMAIT UNIVERSITY – ZANZIBAR (SUMAIT UNIVERSITY) VACANT POSTS Abdulrahman Al Sumait University (SUMAIT University) invites applicants from suitably qualified Tanzanians to fill the vacant posts for Medical Doctor (one post) and Medical Laboratory Technician....Chanzo: Sumait University Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-07-02
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 11308...Deadline: 2018-07-10 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
TAM Review (Zanzibar Form two Mathematics Review 2007-2020
Imeangaliwa
2022-06-27 05:01:48Dawa ya asili ya moyo/moyo kutanuka/kutanuka kwa misuli ya moyo/shambulio la moyo/moyo kufeli
Imeangaliwa
2022-06-27 00:32:43Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
