TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI

Maelezo

Chanzo: Muhammad Liwaya



Tarehe Iliyotolewa: 2020-12-19


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Dar es salaam, Makumbusho standy
Imetembelewa mara! 29185 ... Deadline: 2025-12-19 07:31:00

KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA.
(TATIZO LA BAWASIRI.)

*BAWASIRI,AINA ZAKE,CHANZO,DALILI NA TIBA ASILI*

BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE
?Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa.


  AINA ZA BAWASIRI??
1. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu.

??HATUA YA KWANZA Hii ni bawasiri ambayo haitoki mahali pake pa kawaida.
??HATUA YA PILI 
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya kujisaidia
??HATUA YA TATU 
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe
??HATUA YA NNEH
ii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi

SABABU ZINAZOPELEKEA MTU KUPATA BAWASIRI

(1) Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
(2) Tatizo sugu la kuharisha
(3) Ujauzito
(4) Uzito wa mwili kupita kiasi
(5) Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa  (kulawitiwa)
(6) Kupata haja kubwa ngumu
(7) Kua na mgandamizo mkubwa tumboni.
(8) Kunywa pombe
(9) kula sana nyama nyekundu
(10) Vidonda vya tumbo
(11) ngiri
(12) Kula sana pilipili
(13 ) kunyanyua vitu vizito
                  
ATHARI ZA BAWASIRI
??Upungufu wa damu mwilini
??Kutokwa na kinyesi bila kijitambua 
?? kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
??kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
??kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
??Kupata tatizo la kisaikolojia 
??  Kutopata ujauzito
?? Mimba kuharibika

NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI
??Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi 
?? kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
??Acha kufanya ngono kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
??Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa.
??  Acha kunywa pombe
??  Punguza kula nyama nyekundu
??  Punguza matumizi ya pili pili.
??  Jitibie vidonda vya tumbo

?DALILI ZA BAWASIRI
??kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
??kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
??kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
??kupata kinyesi chenye damu
??kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

?MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA WA BAWASIRI
bawasiri hutibika kwa dawa asili tu MFANO MZURI WA DAWA ASILI NI DAWA IITWAYO "Bawasiri fluid na Bawasiri powder" hii  inatibu na kuondoa tatizo moja kwa moja hivyo ni vizuri kutumia dawa hizo

Dr.Liwaya 
Tiba asili 
Tanzania

+255717541527
+255684167579
mohammedliwaya@gmail.com



Download

Share via Whatsapp

Bidhaa Mbalimbali

Zenye Promotion

No preview available
Highheels
156

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
211

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
174

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
192

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
198

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
109

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
83

Visits

TZS 3,000
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English