Nafasi za Kazi 42 Bunge na Wizara ya Elimu

Maelezo

Chanzo: Ajira WebsiteTarehe Iliyotolewa: 2022-06-13


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Tanzania
Imetembelewa mara! 2973 ... Deadline: 2022-06-24 15:30:00

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Ref.No.JA.9/259/01/A/105 11 Juni, 2022 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Elimu Sayansi na Technolojia anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi arobaini na mbili (42) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

1.0 BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 62(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977. Aidha, Ibara ya 88(1) ya Katiba inaunda Sekretarieti ya Bunge yenye jukumu la kuliwezesha Bunge kutekeleza majukumu yake.

 

 

PLEASE DOWNLOAD PDF FILE HERE FOR MORE INFORMATIONDownload

Share via Whatsapp

Advertise a product

©2022 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English