Nafasi za Kazi Zanzibar Utilities Regulatory Authority ZURA

Maelezo

Chanzo: ZURA WebTarehe Iliyotolewa: 2018-12-07


Download


Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 24859 ... Deadline: 2018-12-17 15:30:00

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar, imeanzishwa chini ya sheria Nam.7/2013 ikiwa na jukumu la kusimamia huduma za Maji na Nishati hapa Zanzibar.


ZURA kwa uwezo na Mamlaka iliyonayo chini ya kifungu nambari 16 (C) ya sheria Nam. 7/2013 inapenda kuwatangazia wananchi wenye sifa kujaza nafasi za ajira kama zifuatazo katika Afisi zake za Unguja na Pemba.

DOWNLOAD PDF FILE BELOW FOR MORE INFORMATIONDownload

Share via Whatsapp

Advertise a product

©2022 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English