Raudhat Medical Clinic
Maelezo
Chanzo: Zenjishoppazz
Tarehe Iliyotolewa: 2019-01-27
Kituo cha Kazi/Tukio: FUoni Kwarara
Imetembelewa mara! 15684 ... Deadline: 2020-12-31 00:00:00

Raudhat Medical Clinic Kwarara Njia Nnne Zanzibar
Raudhat Medical Clinic ni clinic mpya na ya kisasa inayopatikana kwarara njia nne Zanzibar, Kwa huduma za kisasa uchunguzi kwa kutumia maabara za teknolojia ya hali ya juu, na matibabu kutoka kwa madaktari bingwa, fika kwarara njia nne kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 3:30 usiku.
Huduma zinazotolewa

Maabara za kisasa |
---|
1. Uchunguzi na vipimo kutoka maabara
Clinic ina maabara za kisasa vyenye vifaa vya teknolojia mpya, wataalamu waliobobea katika maabara hizo watakupatia huduma katika ubora wa hali ya juu.
Karibu ufanyiwe uchunguzi wa masuala mbali mbali ya kiafya kama vile malaria, typhod, Ultrasound check na mengineyo

Maabara za kisasa |
---|
2. Ushauri na utabibu wa akina mama
Hospitali ina madaktari bingwa katika masuala ya akina mama, karibu upatiwe uchunguzi, ushauri na utabibu katika masuala ya uzazi na mengineyo

Ushauri wa daktari |
---|

Kitanda maalum kwa akina mama |
---|

Duka la dawa |
---|
1. Duka la dawa
Clinic inatoa ina phamarcy yenye dawa za kutosha na zenye ubora

Mahala pa kusubiri wagonjwa |
---|

Kusubiri daktari |
---|

Duka la dawa |
---|

Sehemu ya kusubiri Daktari |
---|

Zinazofanana
- TIBA ASILIA YA UGONJWA WA BAWASIRI
- Admission Leera Schools
- Ongeza Spidi ya Computer na Ufanisi wake kwa SSD
- Vidonda vya Tumbo, Chanzo, Dalili na Tiba Asili za Vidonda vya Tumbo
- Ten Not to miss places to visit in Zanzibar.
- Dawa ya Tonsilis (Matonsisi)
- Jinsi ya ku bold, italic na Kupiga mchoro kwenye Whatsapp
- Dawa ya Bawasiri
- Dawa ya Jino, Tiba Asilia ya Jino linalouma
- Jinsi ya kuchagua kompyuta kwa matummizi mbali mbali
- Dawa za asili za pumu
- Dawa za asili zinazootesha nywele na kuzuia upara
- Mahanjumati Makange ya Kuku
- CHOSEN RECIPES EGG CHOP(MINCED MEAT EGG CHOP)
Bidhaa Mbalimbali
Zenye Promotion
Dawa ya asili ya moyo/moyo kutanuka/kutanuka kwa misuli ya moyo/shambulio la moyo/moyo kufeli
1583
Visits
Bei MaelewanoBidhaa Nyenginezo
Tembelea pia
