Raudhat Medical Clinic

Maelezo

Chanzo: ZenjishoppazzTarehe Iliyotolewa: 2019-01-27Kituo cha Kazi/Tukio: FUoni Kwarara
Imetembelewa mara! 18707 ... Deadline: 2020-12-31 00:00:00

Huduma zinazotolewa

Maabara

Maabara za kisasa

1. Uchunguzi na vipimo kutoka maabara

Clinic ina maabara za kisasa vyenye vifaa vya teknolojia mpya, wataalamu waliobobea katika maabara hizo watakupatia huduma katika ubora wa hali ya juu.


Karibu ufanyiwe uchunguzi wa masuala mbali mbali ya kiafya kama vile malaria, typhod, Ultrasound check na mengineyo

Maabara

Maabara za kisasa

2. Ushauri na utabibu wa akina mama

Hospitali ina madaktari bingwa katika masuala ya akina mama, karibu upatiwe uchunguzi, ushauri na utabibu katika masuala ya uzazi na mengineyo


Ofisi ya Ushauri

Ushauri wa daktari

Kitanda cha uchunguzi

Kitanda maalum kwa akina mama

Students in Computer Lab

Duka la dawa

1. Duka la dawa

Clinic inatoa ina phamarcy yenye dawa za kutosha na zenye ubora


Sehemu ya kusubiri

Mahala pa kusubiri wagonjwa

Kusubiri daktari

Kusubiri daktari

duka la dawa

Duka la dawa

duka la dawa

Sehemu ya kusubiri DaktariShare via Whatsapp
Tanzania Census 2022

Advertise a product

©2022 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English