Taratibu za Kufuata wakati wa Kununua Kiwanja, Nyumba au mali nyengine zisizohamishika Zanzibar

Maelezo

Chanzo: Zenjishoppazz



Tarehe Iliyotolewa: 2019-03-02



Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 25910 ... Deadline: 2020-11-25 00:00:00

TARATIBU ZA KUFUATA WAKATI WA KUNUNUA KIWANJA, SHAMBA, NYUMBA AU MALI NYENGINE ZISIZOHAMISHIKA ZANZIBAR

 

Key words: Kununua kiwanja, uhaulishaji, umiliki wa ardhi, kurithishana shamba, kumiliki nyumba, uhaulishaji zanzibar

 

Kwa kipindi kirefu sasa tumeshuhudia mizozo mingi ikiibuka kuhusu masuala ya umiliki wa ardhi, nyumba, shamba na mali nyengine za namna hiyo ambazo si za kuhamishika.

 

Katika hali yoyote ile, kumiliki ardhi au mali isiyohamishika, ikiwa ni kwa kununua, kuzawadiwa, kurithi au namna nyengine, Serikali ya Zanzibar imeweka utaratibu maalum wa kufuata ili kuthibitisha uhalali wa umiliki w mali hiyo.

 

Zenjishoppazz inaandaa makala hii kukufafanulia utaratibu ambao unapaswa kufuatwa kisheria. lakini kwa muda huu tafadhali angalia video maalum kutoka kwa mwanasheria wa Said Attorney $ Associates akielezea utaratibu huu kupitia Zaima TV.

 

 

Mwanasheria kutoka Said Attorney $ Associates akielezea kuhusu sheria ya uhaulishaji ardhi au mali isiyohamishika na utaratibu wa kufuata kisheria kupitia Zaima TV



Share via Whatsapp
Advertise with us

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English