Nafasi za Kazi Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto

Maelezo

Chanzo: Utumishi ZanzibarTarehe Iliyotolewa: 2019-06-11Kituo cha Kazi/Tukio: Zanzibar
Imetembelewa mara! 14753 ... Deadline: 2019-06-14 15:30:00

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto kama ifuatavyo:-

Afisa Ajira Habari Mawasiliano na Ushauri Daraja la II “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Labour” au “Industrial Relation” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Ajira anaeshughulikia Utafiti Masoko na Uchambuzi Daraja la II “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Labour” au “Industrial Relation” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Ajira anaeshughulikia (Website Developer) Daraja la II “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Computer Engineering” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapina Zanzibar.

Dereva Daraja la III “Nafasi 3” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata Cheti cha Udereva na leseni hai kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Katibu Muhtasi Daraja la III “Nafasi 3” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Ukatibu Muhtasi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Msaidizi Mwangalizi wa Ofisi Daraja la III “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utawala kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Mtunza Ghala Daraja la III “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada ya Kutunza Ghala “Material Management” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 

Afisa Uendeshaji Daraja la II “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani Utawala kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Mafunzo Daraja la II “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu elimu ya Shahada ya kwanza ya katika fani ya Rasilimali Watu/Uongozi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mpiga Chapa Daraja la III “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Chetikatika fani ya Upigaji Chapa kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 

Taarishi Daraja la III “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amemaliza elimu ya Sekondari.

Afisa Takwimu Daraja la II “Nafasi 6” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Teknolojia ya Habari ana Mawasiliano Daraja la II “Nafasi 6” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Habari na Mawasiliano “ICT” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar


Afisa Kumbukumbu Daraja la II “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Kutunza Kumbukumbu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisa Mikopo Msaidizi Daraja la III “Nafasi 4” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Kutunza Uhasibu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisa Utafiti Daraja la II “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uchumi au Mipango kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisa Fidia Daraja la II “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Social Work kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Ustawi Daraja la II “Nafasi 9” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Ustawi wa Jamii kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Wahudumu Daraja la III “Nafasi 11” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Elimu ya Sekondari.

Food Technology Daraja la II “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Food Science kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Afisa Masoko Daraja la II “Nafasi 2” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Biashara na Masoko kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Barefoot Manager Daraja la II “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Electrical Engineeer au Umeme wa Jua (Solar Engineer) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Sheria Daraja la II “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Sheria kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisa Ushirika Daraja la II “Nafasi 4” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani Ushirika kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mkaguzi wa Hesabu wa Vyama vya Ushirika Daraja la II “Nafasi 4” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani Uhasibu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Afisa Msimamizi wa Vyama vya Ushirika Daraja la II “Nafasi 1” 
Sifa za Waombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani Ushirika kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Jinsi ya Kuomba:
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-


KATIBU, 
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.

Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.

Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo 
Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
N.B: Atakaewasilisha ‘Statement of Result’ au ‘Progressive Report’ maombi yake hayatazingatiwa.
Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 14 Juni, 2019 wakati wa saa za kazi.Share via Whatsapp

Advertise a product

©2022 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English