Aina Nne za Watu

General Description

Source: Zenjishoppazz



Release date: 2023-01-16



Duty Station: TANZANIA
9716 visits!... Deadline: 2024-01-16 03:36:00

ZIJUE AINA NNE ZA WATU

Kwa hakika watu duniani wapo wengi mno, ambao ni zaiddi ya Bilioni 7.8 duniani kote, watu hawa tunaweza kuwagawa katika makundi makuu manne, nayo ni

  1. Watu ambao wanajua, na wanajua wao wenyewe kama wanajua. Hawa ni msomi, kwa hiyo kuwa nao karibu, na soma kutoka kwao kwani unaweza kujifunza mambo mengi mno kutoka kwao ambayo yatakua ni faida kwako na jamii yako kwa ujumla.
  2. Aina ya pili ya watu ni wale ambao wanajua, lakini hawajijui kama wanajua. Hawa ni wale waliosahau hivyo wakumbushe ili warudi katika nafasi zao.
  3. Aina ya tatu ya watu, ni wale ambao hawajui, na wanajua ya kwamba hawajui. Hawa ni wanafunzi au wenye kutafuta elimu, hivyo endelea kuwafunza kwani baadae huwenda wakawa wanachuoni wakubwa na wazuri.
  4. Aina ya mwisho ni wale watu ambao hawajui, na yeye hajijui kama hajui na wala hana hamu ya kutaka kujifunza chochote kile. Huyu ni mjinga hivyo mkimbie kwani atakuja kukurithisha ujinga wake. 

Hivyo jitizame wewe upo kundi gani katika katika makundi haya.



Share via Whatsapp

Promoted Ads

No preview available
Amih pure Honey (Asali mbichi)
246

Visits

TZS 13,000
No preview available
Ramani na ujenzi wa nyumba
665

Visits

TZS 300,000
No preview available
Sport fishing boat
1417

Visits

TZS 23,000,000
No preview available
Abaya baibui
2541

Visits

TZS 75,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili