Jinsi ya ku bold, italic na Kupiga mchoro kwenye Whatsapp

General Description

Source: Zenjishoppazz



Release date: 2019-11-25



Duty Station: Zanzibar
23886 visits!... Deadline: 2022-01-11 11:11:00

 

Kama ulikua hujui au umesahau jinsi ya kuandika maandishi kwa ku bold, kwa italic, kupiga mchoro yaani strikethrough hii hapa angalia.


 

Italic

Ili kuandika italic kwenye whatsapp weka alama ya (underscore) yaani kichoro hiki _ mwanzo na mwisho wa neno.


 

Mfano _Ubwabwa_  ukibonyeza space utapata neno Ubwabwa


 

Bold

Ili kuandika bold kwenye whatsapp weka alama ya (star) yaani alama hii * mwanzo na mwisho wa neno.


 

Mfano *Ubwabwa*  ukibonyeza space utapata neno Ubwabwa


 

Kupiga mchoro

Ili kupiga mchoro kwenye whatsapp weka alama ya tildes yaani kichoro hiki ~ mwanzo na mwisho wa neno.


 

Mfano ~Ubwabwa~ ukibofya space utapata neno

Ubwabwa


 

Kabla hujaondoka kuna nyengine hii ya bonus inaitwa monospace nayo utaipata kwa kuandika single quotes tatu

Mfano: “‘Monospace’’’ Ukibofya space utapata ?????????

 

 


 

Usisahau kushea kwa wenzio J;



Share via Whatsapp

Promoted Ads

No preview available
Amih pure Honey (Asali mbichi)
231

Visits

TZS 13,000
No preview available
Ramani na ujenzi wa nyumba
641

Visits

TZS 300,000
No preview available
Sport fishing boat
1406

Visits

TZS 23,000,000
No preview available
Abaya baibui
2530

Visits

TZS 75,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili