Product Details
MATIBABU YA ACID REFLUX
Price
Contact Seller TZS
Quick Overview :
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)Wa.me/255656198441Gastroesophageal reflux disease (GERD).-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na....
Status (New or used?):
Mpya
Product Location:
DAR ES SALAAM![]()
Shop/Seller's Name:
PANDEX HERBAL CLINIC
Communications:
Download our app on Google Play
Recent Products
Product Description
Others by PANDEX HERBAL CLINIC
Ngiri/ Hernia/mshipa/kuvimba kwa mshipa/ korodani kuuma/korodani kuvimba/kukosa haja kubwa/
Visits
TZS 97,000Bawasiri/miwasho sehemu ya haja kubwa/damu wakati wa haja kubwa/kinyama sehemu ya haja kubwa/kukosa
Visits
TZS 97,000Acid/acidi/asidi/acidi tumboni/kuzidi acidi tumboni/gesi/kuzidi gesi tumbonj/gesi tumboni
Visits
TZS 85,000Most Viewed
MATIBABU YA ACID REFLUX
The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world
TATIZO LA KUZIDI KWA KIWANGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)
Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.
Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.
DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:
DALILI NA VIASHIRIA VYA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
1. Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi.
6.Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9. Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10. Kupata kikokozi kisichoisha
11. Kuvimba Tonsils/mafidofido mara kwa mara.
12.Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13. Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14. Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16. Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18. Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.Kichefuchefu na kutapika.
23.Sehemu za mwili kuchezacheza mfano chini ya macho
24. Masikio kuunguruma/kupiga kelele/kuwa mazito
25. Mwili kuwasha na ngozi kufifia rangi yake.
26.Kuhisi ganzi hasa kwenye vidole vya miguu na mikono.
27. Kupata kwikwi mara kwa mara.
28.Presha kupanda (temporary hypertension)
29. Kucheua majimJi machachu yenye rangi ya njano au kijani
30. Kuhisi jamii imekutenga na kukata tamaa ya kuishi.
31.Kuhisi vitu vinatembea mwilini.
32.Kuhisi umerogwa hali inayopelekea wengi kukimbilia kwa waganga wa mizimu.
MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1. Uvutaji wa sigara
2. Unywaji wa pombe
3. Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4. Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5. Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6. Kutumia baadhi ya Madawa kama vile ASPIRIN
7. Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8. Kuwa Mjamzito
9. Uzito kupita kiasi (Obesity)
10. Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.
MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD
-Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili kama ifuatavyo:????
1?? MATIBABU YA KISASA
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers kama vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
-esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk.
Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.
2?? MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA.
-Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea kutibu kiini cha tatzo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake.
-Ziko dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatzo ya ACID nying tumboni,mfano wa dawa hizo ni ,PEPTIC ULCERS +,DUOGAT,ESOGAT Nk.
Wasiliana nami kwa msaada zaidi wa kitaalamu katika kupambana na tatizo hili na mengine.
PANDEX HERBAL CLINIC
ILALA-DAR ES SALAAM
PANGANI-STREET
pandexclinic@gmail.com
DAR ES SALAAM
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
- Superb quality products
- Genuine items
- Affordable prices
- Instant response
- One stop center for all
- Guarantee
- Latest items fashion and releases
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread
Add Reviews
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Your Rating


















