Product Details
DAWA ASILI YA KISUKARI
Price
764,516,995 TZS
Quick Overview :
UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE •Ni kundi la magonjwa ambayo hupelekea kuwepo na kiwango cha sukari kilichozidi katika damu (high blood glucose ~*hyperglycemia*) AINA ZA KISUKARI1?? TYPE 2 DIABETES•Ni hali iliyokuwa sugu ambayo inaathiri namna....
Status (New or used?):
Mpya
Product Location:
TANZANIA
Shop/Seller's Name:
THABIT HERBS
Communications:
Download our app on Google Play
Recent Products
Nyumba ya ghorofa tatu inauzwa (Four floors house for sale)
Last view
2024-11-21 15:20:48Product Description
Others by THABIT HERBS
Most Viewed
DAWA ASILI YA KISUKARI
The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world
UGONJWA WA KISUKARI,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE,ATHARI NA MATIBABU YAKE
•Ni kundi la magonjwa ambayo hupelekea kuwepo na kiwango cha sukari kilichozidi katika damu (high blood glucose ~*hyperglycemia*)
AINA ZA KISUKARI
1?? TYPE 2 DIABETES
•Ni hali iliyokuwa sugu ambayo inaathiri namna ambavyo mwili unabadilisha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu (glucose).
2?? TYPE 1 DIABETES
•Ni hali iliyokuwa sugu ambapo kongosho(pancreas) huzalisha kiasi kidogo cha insulin au hushindwa kabisa kuzalisha insulin kwaajili ya kuondosha kiwango cha sukari kilichozidi kwenye damu.
3?? PRE-DIABETES
•Ni hali ambapo kiwango cha sukari katika damu kinakuwa juu lakini bado hakijafikia kuwa kisukari type 2.
•Na Sukari huwa 5.7- 6.4 kabla ya kula kwa mtu ambae ana dalili ya *prediabetes*
VIWANGO VYA SUKARI NA MAANA YAKE KATIKA MWILI WA BINADAMU
1?? *_KIWANGO CHA SUKARI KILICHO SAWA (normal blood Sugar)_*
•Kwa watu wengi Wenye Afya nzuri,Kiwango kilicho sawa cha Sukari kwenye damu ni kama vifuatavyo???:
?? KABLA YA KULA
Sukari huwa Kati ya 4.0 hadi 5.4 mmol/L (72 hadi 99 mg/dL) kabla ya kula.
?? BAADA YA KULA
Hufika 7.8 mmol/L (140 mg/dL) Masaa 2 baada ya kula.
2?? KWA WATU WENYE KISUKARI
•Kiwango cha sukari mwilini kwa watu Wenye kisukari huwa kama ifuatavyo????:
?? KABLA YA KULA
-Sukari hufika 4 hadi 7 mmol/L kwa watu Wenye type 1 au type 2
?? MASAA MAWAILI BAADA YA KULA
-Sukari huwa chini ya 9 mmol/L kwa watu wenye Kisukari type 1 na huwa chini ya 8.5 mmol/L kwa watu wenye Kisukari type 2
SABABU ZINAZOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA KISUKARI
??????
??Utumiaji wa vyakula vyenye Sukari kupitiliza
-Husababisha kisukari kwasababau hupelekea mwili kuwa mzito zaidi.
?? Ulaji wa nyama nyekundu kupita kiasi(kama vile nyama ya ng'ombe,mbuzi,kondoo nk)
?? Utumiaji wa vyakula vyenye mafuta mengi(fats & lipids)
??Kutokufanya mazoezi/Uzembe wa mwili.
?? Utumiaji wa Vilevi na Sigara.
?? Uzito uliopita kiasi
?? Presha ya kupanda(Hypertension)
?? Sababu za Kurithi.
?? Umri mkubwa miaka 45 au zaidi.
DALILI ZA UGONJWA WA SUKARI????
?? Kupata kiu kila wakati na kupelekea Kunywa maji kupita kiasi.
??Kukojoa sana hasa wakati wa usiku(frequent uniration)
??Uchovu na mwili kukosa nguvu kila wakati.
??Kuchelewa kupona kwa majeraha na vidonda hasa miguuni nk.
??Miguu kuoza
??Kupungua kwa nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo la ndoa
??kutokuona vizuri na kupata upofu
??Ganzi miguuni na kwenye vidole pamoja na Miguu Kuvimba.
??Kupungua uzito na kukonda hata Kama unakula vizuri
?? Ngozi kupauka licha ya kupaka mafuta Mara kwa mara
MADHARA YA UGONJWA WA SUKARI
????????
??kupata magonjwa ya moyo (Cardiovascular Diseases)
?? Kiharusi au kuparalaizi( Stroke)
?? Shinikizo la damu (NHT)
?? Figo kufeli kufanyakazi na mawe kwenye figo(Kidney Stones)
?? Kupungua kwa nguvu za kiume. na kukosa hamu ya tendo la ndoa
??kupata upofu
?? Hatari ya kupata Kansa kutokana na Vidonda visivyopona.
?? Kisukari ni ugonjwa wenye kutibika kwa dawa za asili hasa pale utakapobahatika kupata dawa ya uhakika katika kutibu kisukari mfano wa dawa za uhakika zenye kuondosha kabsa kisukari ni dawa ya asili iitwayo DM POWDER
Dr.Mapande
Tiba Asili
Tanzania
+255764516995
+255656198441
thabitsayd@gmail.com
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
- Superb quality products
- Genuine items
- Affordable prices
- Instant response
- One stop center for all
- Guarantee
- Latest items fashion and releases
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread
Add Reviews
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Your Rating