Product Details
TIBA YA ASILI YA MOYO ULIOTANUKA
Price
200,000 TZS
Quick Overview :
Kutanuka kwa moyo maana yake ni moyo unakuwa mkubwa kuliko kawaida,moyo hutanuka kutokana na utanukaji wa misuli/ kuta za moyo ambayo ni matokeo ya misuli au kuta za moyo kufanya kazi kubwa kuliko uwezo wake. Kutanuka kwa moyo sio ugonjwa bali ni matokeo ya itilafu....
Status (New or used?):
Mpya
Product Location:
Morogoro mjini
Shop/Seller's Name:
The Cotex Medicine
Communications:

Download our app on Google Play
Recent Products
Product Description
Others by The Cotex Medicine

Most Viewed
TIBA YA ASILI YA MOYO ULIOTANUKA
The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world
Kutanuka kwa moyo maana yake ni moyo unakuwa mkubwa kuliko kawaida,moyo hutanuka kutokana na utanukaji wa misuli/ kuta za moyo ambayo ni matokeo ya misuli au kuta za moyo kufanya kazi kubwa kuliko uwezo wake.
Kutanuka kwa moyo sio ugonjwa bali ni matokeo ya itilafu inayotokana na moyo kutumia nguvu nyingi katika kusukuma damu mwilini,moyo uliotanuka hauwezi kufanya kazi kisawa sawa hali inayopelekea moyo kushindwa kusambaza damu ipasavyo.
Je wajua nini hasaa chanzo cha moyo kutanuka???
Kutanuka kwa moyo huchangiwa na moja ya sababu zifuatazo??;
1.Kupanda zaidi kwa shinikizo la juu la damu mwilini (Hypertension) au kwenye mishipa inayounganisha moyo na mapafu (Pulmonary hypertension).
Hali ya presha au shinikizo la damu kuwa juu zaidi husababisha moyo kusukuma damu zaidi kuliko kawaida hali inayopelekea misuli/kuta za moyo kuwa nene hatimae hufanya moyo kuwa mpana.
2.Ugonjwa wa mishipa ya moyo (Coronary artery disease) pamoja na ugonjwa wa misuli ya moyo (Cardiomyopathy).
Moyo wenye itilafu ya mishipa au misuli husababisha misuli au mishipa hiyo kukakamaa, kukakamaa kwa misuli/mishipa hupunguza uwezo wa moyo hatimae moyo hujaribu kutumia nguvu nyingi kusukuma damu hali inayofanya misuli kuwa minene.
3.Uchache wa chembe hai nyekundu katika damu(Red blood cell) au uwingi wa madini ya Chuma (Fe) katika damu.
Uwepo wa chembe hai nyekundu chache katika damu ambayo inatafsiriwa kama ukosefu wa damu mwilini hufanya ubebaji na usambazaji wa damu mwilini kuwa mdogo hivyo moyo nguvu za ziada tena za haraka kukabiliana na hali hiyo na kupelekea kuta za moyo kuwa nene(moyo kutanuka).
Kwa upande mwingine, uwingi wa madini ya chuma mwilini hufanya madini hayo kujijenga sehemu mbalimbali za mwili hasaa zaidi ogani za mwili kama moyo.Uwingi wa madini haya kwenye moyo hudhoofu misuli ya moyo na kufanya misuli ya moyo kuwa minene.
4.Magonjwa ya tezi mfano Thyroid disease.
Magonjwa ya tezi (Grands disease) hupelekea homoni kutolewa kwa kiwango kidogo au kingi, kuvurugika kwa mpangilio huu huathiri mapigo ya moyo, msukumo wa damu na ukubwa wa moyo na hivyo kuufanya moyo kuwa mnene.
5.Kurithi na matatizo ya kuzaliwa nayo mfano kuwepo kwa tundu kwenye Aorta (Patent ductus arteriosus).
Kurithi tatizo hili au kuzaliwa na tatizo hili hufanya watu kulipata tatizo hili.
Sababu zingine zinazopelekea tatizo hili ni kama zifuatazo??;
?? Kuharibika kwa vavu (valve) kwenye vishipa vya damu.
?? Moyo kushambuliwa na virusi na bakteria mara kwa mara.
?? Ugonjwa wa figo.
??Kuwa na uzito mkubwa (Overweight) na unene uliokithiri (Obese).
?? Matumizi yaliyokithiri ya pombe na madawa ya kulevya.
?? Maambukizo ya virusi vya ukimwi (VVU)
?? Ujauzito/kujifungua.
KUMBUKA.
Licha ya uwepo wa dawa tofauti za kupambana na tatizo hili kama vile dawa za kuupunguzia moyo mzigo Lasix na zinginezo na dawa za kuusaidia moyo ulioshindwa Digoxin n.k bado tatizo hili litaendelea kuwa kubwa zaidi zaidi kama hatua za haraka hazitachukuliwa.
?Moja ya hatua zinazotakiwa kuchukuliwa kwa haraka ni pamoja na;
Kufanyiwa upasuaji wa moyo, Kubadilisha/kupandikiza moyo mpya (Transplant of the heart) na Matumizi ya dawa yanayoendana na kubadili mfumo wa maisha.
Moja ya madhara makubwa ya tatizo hili ni kama vile ??;
? kifo cha ghafla.
?Moyo kusimama kufanya kazi.
?Kupalaraizi(stroke).
? Vidonda kwenye moyo.
Tiba ya maradhi haya inapatikana kwa gharama ya Tsh 200,000/.
Dawa hii inayo uwezo wa kutibu Cardiomegaly na kuurejesha moyo kwenye hali yake kwa matumizi ya dawa kwa muda wa siku sita (6) tu.
Amini moyo hata uwe umetanuka kiasi gani au mgonjwa hata awe kwenye hatua mbaya kiasi gani dawa hii ina nguvu ya ajabu sana kwa uwezo wa muumba katika katika kutibu maradhi haya kwa muda mfupi sana.
Dalili za Cardiomegaly
Moja ya dalili hatari za tatizo hili ni pamoja na;
? Kupumua kwa shida sana
?Kujaa na kuvimba kwa miguu.
?Kifua kubana na
?kupoteza fahamu.
Dalili zingine za moyo kutanuka ni pamoja na Vidole kufa ganzi na kukakamaa, mapigo ya moyo kwenda kwa kasi sana,moyo kulipuka mara kwa mara,miguu kuwa ya baridi, maumivu kwenye chemba ya moyo, kuongezeka uzito na kuwa na tumbo kubwa.
Wapo wenye tatizo hili bila dalili zozote, muhimu kwenda hospitali kupatiwa uchunguzi wa moja vipimo hivi;
??Echocardiography,X-ray ya kifua,CT scan,MRI, ugonjwa wa tezi na uwingi wa damu.
Muhimu Zaidi;
Muhimu zaidi aliyebainika na tatizo hili kufanya mambo yafuatayo;
1?? Kudhibiti ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi.
2?? Kupunguza ulaji wa wingi wa mayai na maziwa.
3?? Matumizi mengi ya chumvi kwenye mboga
4?? Kudhibiti kupanda kwa shinikizo la juu la damu
5?? Kudhibiti sukari
6??Kutotumia pombe au kahawa
7??Tumia mafuta kiasi kwenye mboga/kuandalia chakula mfano mafuta ya alizeti
8?? Kupata mapumziko ya kutosha kwa siku(masaa 8 au zaidi kwa siku)
9?? Kutumia mbogamboga za majani na matunda unazopendelea katika kila mlo.
? kufanya mazoezi ya viungo/kukimbilia kwa walau dk 45 kwa siku.
1??1?? Kujiandikisha kwenye kliniki ili kupata uchunguzi wa mara kwa mara.
Jilinde, jitunze na jihimize zaidi kufuata taratibu za kitabibu kama nilivyoeleza na hii itasaidia kulinda afya yako na kupunguza madhara makubwa ya tatizo hili.
The Cotex Medicine
The centre for Cure Coaching and Rehabilitation.
Prepared by ;
Nutr.Sood
call/sms/WhatsApp:0678640098.
Email: thecotexmedicine@gmail.com
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
- Superb quality products
- Genuine items
- Affordable prices
- Instant response
- One stop center for all
- Guarantee
- Latest items fashion and releases
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread
Add Reviews
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Your Rating