Product Details
Magonjwa ya moyo,presha ya kupanda/kushuka.
Price
95,000 TZS
Quick Overview :
Kwa Maulizo/Ushauri: Nutr.Sood(Sood Bingwa) Call/sms/WhatsApp: 0678640098. Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Aina za presha. Zipo aina kuu mbili za presha, yaani; (I) PRESHA YA KUPANDA (II)....Status (New or used?):
NewProduct Location: 
Morogoro mjini
Shop/Seller's Name:
The Cotex medicineCommunications:

Download our app on Google Play
Recent Products
Product Description
Others by The Cotex medicine

Most Viewed
Magonjwa ya moyo,presha ya kupanda/kushuka.
The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world Kwa Maulizo/Ushauri: Nutr.Sood(Sood Bingwa) Call/sms/WhatsApp: 0678640098. Presha ni msukumo wa damu kwenye vishipa vya damu, msukumo huo huzalishwa baada ya moyo kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Aina za presha. Zipo aina kuu mbili za presha, yaani; (I) PRESHA YA KUPANDA (II) PRESHA YA KUSHUKA. PRESHA YA KUPANDA. Presha ya kupanda ni msukumo wa damu unaosukumwa na moyo kwenda kwenye vishipa vya damu (artery) kuwa mkubwa kuliko njia ya mishipa hiyo. Presha itaitwa kuwa presha ya kupanda ikiwa iko juu zaidi ya presha ya kawaida ambayo ni 120/80mmHg.Presha yaweza kupanda mpaka kufikia 240/120mmHg. Sababu kuu za kupanda kwa presha. (i) Utumiaji wa chumvi nyingi kwenye chakula. (ii) Unywaji wa pombe/sigara uliokithiri. (iii) Msongo wa mawazo na kutokufanya mazoezi (iv) Familia zenye matatizo ya moyo pamoja na kurithi. (v) uzito mkubwa,unene na kitambi. Dalili za presha kupanda. (I) Kushikwa na kizunguzungu (II) Kichefuchefu, tumbo kujaa na kutapika kusiko kwa kawaida (iii) Kuvimba/kujaa maji kwa miguu,uso na mikono. (iv)Kutokuona vizuri (kuona ukungu). Madhara yatokanayo na presha ya kupanda. 1?? Uvimbe kwenye kuta za vishipa vya damu/kuziba kwa mishipa ya damu(artery) inayopelekea shambulio la moyo (Heart attack). 2??Moyo kushindwa kusukuma damu (Heart failure) 3??Kiharusi(stroke) 4?? Kuharibika kwa ubongo. Kwa upande mwingine; PRESHA YA KUSHUKA. Presha ya kushuka ni ile hali msukumo wa damu unakuwa mdogo kuliko upana (unene) wa vishipa vya damu hali inayopelekea damu chache kufika kwenye ubongo na viungo vingine vya mwili. Presha ikishuka mpaka kufikia 90/60mmHg kutokea 120/80mmHg inatafsiriwa kama presha iliyoshuka. Presha ya kushuka huchangiwa hasaa na moja ya sababu zifuatazo; ??Matatizo ya homoni. ??Maradhi ya moyo pamoja na maambukizo ya vishipa vya damu. ??Kisukari. ??Kubeba Ujauzito. ??Ukosefu wa virutubisho mwilini kama vile protini,madini ya chuma,Vitamin B-12 n.k ??Kushikwa na hasira pamoja na msongo wa mawazo. Na moja ya dalili za presha hii ni kama vile??; ??Mchoko(udhaifu), mwili kukosa nguvu na kuhisi kizunguzungu. ??Maumivu ya kifua pamoja na homa kali ??Kupumua kwa shida na moyo kwenda mbio (mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida). ??Maumivu kwenye kifua, bega la kushoto pamoja na kiwiko cha mkono. Moja ya madhara yanayotajwa yatokanayo na presha hii ni mshtuko/kifo cha ghafla kunakotokana na viungo vya mwili kutokupata oxygen ya kutosha. Epuka,dhibiti moja ya mambo yafuatayo ikiwa unasumbuliwa na tatizo la presha (aina zote) pamoja na athari zitokanazo na magonjwa ya moyo. 1.Kupata wasaa wa kufanya mazoezi ya viungo, kukimbilia au kuendesha baiskeli (wastani wa dk 45 kwa siku) 2.Epuka matumizi ya sigara, pombe na matumizi mengine ya madawa kama Heroine 3.Tumia kiasi sahihi cha chumvi, sukari au mafuta kwenye chakula chako(Sikiliza miongozo ya wataalamu). 4.Pata wasaa wa kupumzika (Zaidi ya saa 8 kwa siku) 5.Punguza unene au uzito uriokithiri. Muhimu zaidi; _Ipo mimea tiba yenye uwezo wa ajabu katika kutibu matatizo ya presha na kuondoa athari zitokanazo na magonjwa ya moyo kwa gharama ya Tsh 95000/. _Dawa hii utatumia kunywa kwa muda wa siku 6 tu,zitatosha kuondoa na kumaliza kabisa tatizo lako la presha. Nakukaribisha tena kupata suluhisho la tatizo lako. The Cotex Medicine Centre for Cure Coaching and Rehabilitation.
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
- Superb quality products
- Genuine items
- Affordable prices
- Instant response
- One stop center for all
- Guarantee
- Latest items fashion and releases
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread
Add Reviews
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Your Rating