Product Details

TIBA YA NGIRI SUGU NA CHANGO KWA WANAWAKE

19259
Views

Price

Contact Seller TZS

Quick Overview :

NGIRI (HERNIA) AU CHANGO YA UZAZI. Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo....

Status (New or used?):

New

Product Location:

Dar es salaam

Shop/Seller's Name:

Pandex Herbal Clinic

Communications:


Share via Whatsapp

Get it on Google PlayDownload our app on Google Play

Recent Products

No preview available
Milango na madirisha ya welding

Last view

2024-04-20 04:09:06
TZS 200,000
No preview available
Sport fishing boat

Last view

2024-04-20 04:08:22
TZS 23,000,000
No preview available
Baiskeli za mtumba aina zote (used bicycles)

Last view

2024-04-20 04:06:57
TZS Contact Seller
No preview available
Smartwatch

Last view

2024-04-20 04:06:37
TZS 65,000
No preview available
LIQUID SOAP

Last view

2024-04-20 04:06:22
TZS 5,500
No preview available
Nymba inauzwa

Last view

2024-04-20 04:05:54
TZS Contact Seller
No preview available
Perfume mpya za kudumu

Last view

2024-04-20 04:01:25
TZS Contact Seller

Product Description

Others by Pandex Herbal Clinic

Most Viewed

TIBA YA NGIRI SUGU NA CHANGO KWA WANAWAKE

The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world NGIRI (HERNIA) AU CHANGO YA UZAZI. Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo. Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri kama hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, korodani na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri. Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya: ?Tumboni ?Eneo la kinena ?Eneo la paja kwa juu ?Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma ?Kifuani Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote AINA ZA NGIRI Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza. ?Ngiri maji Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele) ? Ngiri kavu (Hernia) Hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume. ?Ngiri ya kwenye kifua Hujulikana pia kitaalamu kama ‘hiatus hernia’ ?Ngiri ya tumbo Hujulikana pia kama ‘Abdominal Hernia’ ? Ngiri ya kwenye kitovu Hujulikana pia kama ‘Umbilical Hernia”. ?Ngiri ya sehemu ya haja kubwa Hujulikana pia kama ‘Anal Hernia’ DALILI ZAKE KWA MWANAUME: DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu. Nazo ndizo hizi zifuatazo? 1?Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu. 2?Kupiga mingurumo tumboni. 3?Kujaa gesi tumboni. 4?Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu. 5?Kupata haja ngumu kama ya mbuzi. 6?Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa. 7?Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara. 8?Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho. 9?Nuru ya macho hupotea taratibu. 10?Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika. 11?Huvutwa makende au upande mmoja maumivu. 12?Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu. 13?Maumivu makali ya mgongo au kiuno 14?Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU •Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:?????? 1? Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito) 2?Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati 3?Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo kama ya mtoto mdogo 4? Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar 5?Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama. 6?Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,kama vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk 7?Upungufu wa nguvu za kiume. Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume MWANAMKE MWENYE CHANGO LA UZAZI ANA DALILI ZIFUATAZO :- ?Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia Katika siku zake za hedhi ?Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa ?Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika ?Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi ?Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi. ?Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi. ?Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke. ?Kuchukia kushiriki tendo la ndoa ?Kupata uvimbe kwenye kizazi ?Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi. MADHARA YAKE KWA MWANAMKE ?Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba ?Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa ?Kuingia na kutoka Kwa mimba ?Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni ?Kuwa na uke mdogo sana MADHARA KWA MWANAUME ?Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba ? Kiwango kinachozalishwa cha megu ni kidogo mno ?Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa ?Kusimama na kusinyaa kwa uume TIBA YA CHANGO LA UZAZI Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia. Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi/Nguri hutibiwa na miti shamba/Dawa za asili/mimea. Zipo dawa asili zenye uwezo wa kuondosha kabisa tatzo la ngiri bila upasuaji kama vile kuna dawa iitwayo NGIRI SUGU,ni dawa ambayo hutibu ngiriChango na kuiondosha kabsa bila upasuaji kwa muda mfupi kabsa Kwa mahitaji ya dawa ya ngiri Wasiliana nami DR.Liwaya Tiba Asilia Tanzania +255755162724 +255717541527 muhammadliwaya@gmail.com.

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

  • Superb quality products
  • Genuine items
  • Affordable prices
  • Instant response
  • One stop center for all
  • Guarantee
  • Latest items fashion and releases

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread

Add Reviews

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Your Rating

Similar products

Brand New

SALE

Laptop Acer Aspire R11
1 Remaining

TZS 650,000

Details

Brand New

SALE

Saa Ya mkononi (Wrist
20 Remaining

TZS 25,000

Details

New

SALE

Samsung J106 mini pro
12 Remaining

TZS 130,000

Details

New

SALE

Samsung galaxy j110
10 Remaining

TZS 168,000

Details

New

SALE

Samsung galaxy j200
7 Remaining

TZS 200,000

Details

New

SALE

Samsung Galaxy 385
11 Remaining

TZS 235,000

Details

New

SALE

Laptop HP probook
1 Remaining

TZS 750,000

Details

New

SALE

Laptop Sony VAIO Core
1 Remaining

TZS 800,000

Details

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

+ Tangaza bidhaa

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili