Product Details

DAWA YA ASILI YA KUTIBU NGIRI/HERNIA BILA UPASUAJI

39070
Views

Price

Contact Seller TZS

Quick Overview :

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.Nazo ndizo hizi zifuatazo?1?Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.2?Kupiga mingurumo tumboni.3?Kujaa gesi tumboni.4?Kuhisi haja kubwa na....

Status (New or used?):

Mpya

Product Location:

Dar es salaam,Ilala

Shop/Seller's Name:

Pandex herbal

Communications:


Share via Whatsapp

Get it on Google PlayDownload our app on Google Play

Recent Products

No preview available
Vifaa vya ujenzi

Last view

2024-05-18 02:55:35
TZS Contact Seller
No preview available
Mouthfreshner Ruhy

Last view

2024-05-18 02:54:51
TZS Contact Seller
No preview available
Frizer ft 3, 4, 5 na 6. FRIDGE kubwa na ndogo

Last view

2024-05-18 02:47:30
TZS 350,000
No preview available
Plan ya nyumba gorofa moja (2 floor house plan)

Last view

2024-05-18 02:46:40
TZS 420,000
No preview available
Tv flat screen inch 32

Last view

2024-05-18 02:39:04
TZS 380,000
No preview available
Laptop Lenovo Z370 ideapad corei3 nvidia gforce

Last view

2024-05-18 02:30:51
TZS 950,000

Product Description

Others by Pandex herbal

Most Viewed

DAWA YA ASILI YA KUTIBU NGIRI/HERNIA BILA UPASUAJI

The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI

 

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

Nazo ndizo hizi zifuatazo?

1?Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.

2?Kupiga mingurumo tumboni.

3?Kujaa gesi tumboni.

4?Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5?Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.

6?Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7?Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

8?Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

9?Nuru ya macho hupotea taratibu.

10?Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

11?Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.

12?Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

13?Maumivu makali ya mgongo au kiuno

14?Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto

 

15 ?Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi

 

16? Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)

 

17? Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas.

 

18? Ukila vitu vyevye sukari nying kama soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas

 

19? Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pamoja)

 

MADHARA YA KUKAA NA NGIRI KWA MUDA MREFU

 

•Kukaa na Ngiri/hernia kwa muda mrefu inaweza kupelekea matatizo yafuatayo:??????

 

1? Inaweza kusababisha Utasa ( Kushindwa kutungisha Ujauzito)

 

2?Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurejea tendo kwa wakati

 

3?Dhakari kurudi ndan na kuwa na dhakari ndogo kama ya mtoto mdogo

 

4? Kushindwa kumridhisha mke wakati wa tendo la ndoa kutokana na ulegevu na udogo wa dhakar

 

5?Dhakar kusimama kwa ulegevu na hufikia hatua dhakar hushindwa kabsa kusimama.

 

6?Kuathirika kisaikolojia hivyo inaweza kumsababishia mhusika kupata matatzo mengine kutokana na mawazo ,kama vile magonjwa ya moyo(CVDs),Vidonda vya tumbo(PUD) nk

 

7?Upungufu wa nguvu za kiume.

 

 

Ndugu zangu wenye dalili tajwa hapo juu msipuuzie hata kidogo kwan ngiri ni sababu kubwa sana katika kusababisha matatzo ya uzazi kwa mwanaume

 

MAJIBU KUHUSIANA NA VIPIMO VYA NGIRI/HERNIA

 

Vipo vipimo kwaajili ya ngiri kwa mgonjwa.

 

Kabla ya vipimo Dr.atakuangalia kwanza kama una uvimbe hasa maeneo ya kinena na maeneo ambayo mgonjwa anahisi kuwa na Ngiri,atamuangalia mgonjwa kwa kumwambia akohoe ama asimame ili aangalie kama kuna Uvimbe unaonekana eneo husika ama kwa kushika eneo husika nk

 

•Dr.anaweza kujiridhisha zaid kama mgonjwa ana ngiri ama hana kwa kutumia vipimo vifuatavyo??

 

?? ULTRASOUND

?? CT SCAN

?? MRI

 

Hivi ni vipimo ambavyo vinaweza kuonesha kama mtu ana ngiri ama hana.

 

ANGALIZO

?? Hospital ngiri inafahamika kwa kule kuonekana kwake kujitokeza kwa kitu eneo husika hivyo basi unaweza ukawa na dall zote za ngiri lakin Hospital ukaambiwa hauna tatzo maadam tu ule uvimbe/kujitokeza kwa kitu eneo la ngiri hakuonekan.

 

 

?? Ukija kwetu sisi tutakuuliza sana upate wa dall kwani ngiri hufahamika zaid kwa dalili zake na unaweza kwenda hospital na dall zote hizo ukaambiwa hauna Ngiri.

 

 

?? Hospital hakuna Uwezo wa Kutibu Ngiri mpaka pale utakapovimba ndiyo huwarahisishia wao kufanya Upasuaj kwani hii ndio tiba ya Ngiri kwa hospital na hakuna dawa zaid ya Upasuaji.

 

?? Lakini Upasuaji pia ni katika sababu za mtu kupata Ngiri.Kuna aina ya Ngiri inaitwa *Recurrent Hernia*,ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa ngiri hivyo pale ambapo alipofanyiwa upasuaj ngiri hurudi na huitwa *Recurrent hernia*.Na kuna ngiri huitwa *Incissional hernia* ni ngiri ambayo hutokea baada ya mtu kufanya Upasuaj wa kawaida either tumbon hivyo eneo la upasuaj huweza kutokea aina hii ya ngiri.

 

 

?? Hivyo basi,Upasuaji wa ngiri si tiba sahihi sana katika kutibu Ngiri kwani kuna uwezekano mkubwa wa ngiri kurejea.

 

Asante sana.

 

Kwa mawasiliano ya dawa na Ushaur wasiliana nami;

 

Dr.Kasudia

Tiba asili

Tanzania

 

+255715224721

+255758606089

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

  • Superb quality products
  • Genuine items
  • Affordable prices
  • Instant response
  • One stop center for all
  • Guarantee
  • Latest items fashion and releases

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread

Add Reviews

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Your Rating

Similar products

Mpya

SALE

Sony Xperia Z1 16GB
1 Remaining

TZS 300,000

Details

Mpya

SALE

Solar panel
120 Remaining

TZS Contact Seller

Details

Mpya

SALE

Stronger tech blenders
20 Remaining

TZS 220,000

Details

Mpya

SALE

Laptop Lenovo Z370
1 Remaining

TZS 950,000

Details

Mpya

SALE

Earphone samsung s7
50 Remaining

TZS 20,000

Details

Mpya

SALE

Miwani ya bluetooth
50 Remaining

TZS 35,000

Details

Mpya

SALE

Headset za bluetooth
50 Remaining

TZS 25,000

Details

Mpya

SALE

Tecno WX4 for sale
20 Remaining

TZS 180,000

Details

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

+ Tangaza bidhaa

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili