Product Details
DAWA YA ASILI YA KUTIBU PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
Price
Contact Seller TZS
Quick Overview :
PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI _________________________________________________________________________ Dr.Kasudia Tiba Asili Tanzania PANDEX....
Status (New or used?):
New
Product Location:
Dar es salaam,Ilala
Shop/Seller's Name:
Pandex herbal
Communications:

Download our app on Google Play
Recent Products
Bawasiri/miwasho sehemu ya haja kubwa/damu wakati wa haja kubwa/kinyama sehemu ya haja kubwa/kukosa
Last view
2025-02-19 08:22:59Product Description
Others by Pandex herbal

Most Viewed
DAWA YA ASILI YA KUTIBU PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world
PID,SABABU ZAKE,DALILI ZAKE,KUJIKINGA KWAKE NA MATIBABU YAKE KWA DAWA ASILI
_________________________________________________________________________
Dr.Kasudia
Tiba Asili
Tanzania
PANDEX HERBS
+255715224721
+25575860608
PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)
-Ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.Na maambukizi haya kutokea ikiwa bacteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye Uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus),Mirija ya uzazi na kwenye Ovary (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana).
-Maambukizi ya PID mara nyingi husababishwa na Bacteria wanaosababisha Ugonjwa wa Kisonono na Chlamydia.Hivyo wanawake wenye Kisonono wapo hatarini zaid Kupata PID
DALILI ZA MWANAMKE MWENYE PID (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE)
-Zifuatazo ni dalili za mwanamke Mwenye PID:
????
?? Maumivu ya kawaida ama makali chini ya kitovu.
?? Kutokwa Uchafu usio wa kawaida Ukeni ambao ni mzito wenye HARUFU MBAYA wenye rangi ya maziwa ama njano.
?? Maumivu makali wakati wa kujamiiana.
?? Hupata homa(joto laweza kupanda mpaka 110 F (38.3 °C).
?? Maumivu makali wakati wa kukojoa na hupelekea Kupata ugumu wakati wa kukojoa.
?? Hupatwa na kichefuchefu.
?? Kutapika
?? Miwasho sehemu za
siri
?? Uchovu
?? Uke kuwa mlaini sana
?? Kizunguzungu
?? Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi.
?? Kuvurugika kwa Hedhi.
?? Maumivu ya kiuno
ATHARI ZA PID
? Ugumba kwa wanawake
? Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi.
? Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi.
? KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi.
? Maumivu ya tumbo /ngonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation).
JINSI YA KUEPUKA/KUJIKINGA NA PID
? Epuka kuvaliana nguo za ndani.
? Kuwa na tabia ya kupima mara kwa mara mfumo wako wa Uzazi.
? Kuwa msafi wa mwili na nguo zako za ndan
? Kula lishe bora.
? Epuka kufanya tendo la ndoa na mwenza wako mara baada ya kugundua ana magonjwa ya kujamiiana (STDs)
Tumia dawa Asili iitwayo UROGETIX 5 kwa matibabu ya haraka na uhakika ya PID.
TIBA NA USHAURI
??????
Dr. Kasudia
Tiba Asili
Tanzania
PANDEX HERBS
+255715224721
+255758606089
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
- Superb quality products
- Genuine items
- Affordable prices
- Instant response
- One stop center for all
- Guarantee
- Latest items fashion and releases
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread
Add Reviews
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Your Rating