Product Details

BAWASIRI NI NINI?

2101
Views

Price

Contact Seller TZS

Quick Overview :

*Bawasiri ni nini?* -Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk ??Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea....

Status (New or used?):

New

Product Location:

ilala

Shop/Seller's Name:

Pandex herb

Communications:


Share via Whatsapp

Get it on Google PlayDownload our app on Google Play

Recent Products

No preview available
Keyboards, Adapters na Vifaa vyengine vya Computer

Last view

2024-06-20 15:15:37
TZS Contact Seller
No preview available
Carry inauzwa (for sale) ipo vizuri

Last view

2024-06-20 15:15:25
TZS 5,000,000
No preview available
Ramani ya nyumba vyumba vinne simple

Last view

2024-06-20 15:15:11
TZS 180,000
No preview available
Kanzu za msikitini

Last view

2024-06-20 15:14:42
TZS 150,000
No preview available
Kids toothpaste

Last view

2024-06-20 15:14:06
TZS 10,000
No preview available
Shamba linauzwa lina fence na miti na banda la mifugo

Last view

2024-06-20 15:14:05
TZS 220,000,000
No preview available
Ramani (plan) ya Nyumba vyumba 4

Last view

2024-06-20 15:13:27
TZS 200,000
No preview available
Gari

Last view

2024-06-20 15:12:43
TZS 8,000,000

Product Description

Others by Pandex herb

Most Viewed

BAWASIRI NI NINI?

The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world *Bawasiri ni nini?* -Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk ??Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu *MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI* ?? Uzito kupita kiasi(Overweight) ?? Ujauzito ?? Unywaji pombe ?? Kukaa sana sehemu ngumu ?? Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa. ?? Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni: -Vidonda vya TUMBO -Ngiri/Hernia -Ulaji duni ?? Kula sana nyama nyekundu ?? Presha ya kupanda ?? Kula sana pilipili ?? Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo) AINA ZA BAWASIRI?? -Kuna aina 2 za Bawasiri kama ifuatavyo???? 1?. BAWASIRI YA NJE Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa. 2??.BAWASIRI YA NDANI Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri ya ndan ina hatua NNE ambazo ni:???? 1. *HATUA YA KWANZA* Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekan wakati wa kujisaidia. 2. *HATUA YA PILI* Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia 3. *HATUA YA TATU* Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurud yenyewe baada ya muda 4. *HATUA YA NNE* Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia. *DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI* 1.?kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa 2.?kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa 3.?kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa 4.?kupata kinyesi chenye damu 5.?kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia 6.? Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya _NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI_* 1.?Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi 2.?kunywa maji mengi 3.?Acha kufanya mapenzi kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa) 4.?Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa. 5.? Acha kunywa pombe 6.?Punguza kula nyama nyekundu 7.?Punguza matumizi ya pili pili. 8.?Jitibie vidonda vya tumbo 9.? Jitibie Ngiri 10.? Dhibiti uzito wako 11.? Jiepushe/punguza kunyanyua vitu vizito mara kwa mara *ATHARI ZA BAWASIRI* 1.?Upungufu wa damu mwilini 2.?Kutokwa na kinyesi bila kujitambua 3.?kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa 4.?kupungukiwa nguvu za kiume 5.?kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu 6.?Kupata tatizo la kisaikolojia 7.?Kutopata ujauzito 8.? Mimba kuharibika 10.? Kupata kansa ya utumbo ( *Colorectal cancer*) 11.? Mwili kudhoofika _MAMBO YA KUFANYA KWA MWENYE BAWASIRI ILI KUPATA AHUENI NA MAUMIVU YA BAWASIRI_* Dr Kasudia ? 1?Epuka matumizi ya vilevi/pombe. 2? Epuka matumizi ya pilipili. 3? Epuka kukaa sana sehemu ngumu kwa muda mrefu. 4?Epuka matumizi ya nyama nyekundu kama vile nyama ya mbuzi,ng'ombe na Kondoo 5? Epuka Kuingiliwa/kufanya mapenzi sehemu ya haja kubwa. 6?Punguza vyakula vya mafuta 7?Epuka/punguza unyanyuaji wa vitu vizito. 8? Punguza matumizi ya vyakula vya ngano. 9? Epuka kula vyakula vyenye kusababisha choo kuwa kigumu. 10? Jitibie magonjwa ya ngiri,vidonda vya tumbo nk. 11.?Jitahid kula Mboga Mboga na matunda katika mlo wako wa kila siku *_Jitahid kutumia juice ya matunda kama vile parachichi,passion na maembe angalau mara 3/5 kwa wiki_* +255758606089 +255715224721 Dr. Kasudia Tiba Asili Tanzania ??

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

  • Superb quality products
  • Genuine items
  • Affordable prices
  • Instant response
  • One stop center for all
  • Guarantee
  • Latest items fashion and releases

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread

Add Reviews

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Your Rating

Similar products

Brand New

SALE

Laptop Acer Aspire R11
1 Remaining

TZS 650,000

Details

Brand New

SALE

Saa Ya mkononi (Wrist
20 Remaining

TZS 25,000

Details

New

SALE

Samsung J106 mini pro
12 Remaining

TZS 130,000

Details

New

SALE

Samsung galaxy j110
10 Remaining

TZS 168,000

Details

New

SALE

Samsung galaxy j200
7 Remaining

TZS 200,000

Details

New

SALE

Samsung Galaxy 385
11 Remaining

TZS 235,000

Details

New

SALE

Laptop HP probook
1 Remaining

TZS 750,000

Details

New

SALE

Laptop Sony VAIO Core
1 Remaining

TZS 800,000

Details

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

+ Tangaza bidhaa

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili