Product Details
Bawasiri/miwasho sehemu ya haja kubwa/damu wakati wa haja kubwa/kinyama sehemu ya haja kubwa/kukosa
Price
Contact Seller TZS
Quick Overview :
Maishaboratz (0752962267) ?KUTOKANA NA UZOEFU MATIBABU YA TATIZO HILI(BAWASIRI) Familiar vizuri?????KAWAIDA YA KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma.Hali hii ufanya nyama ilundikane sehemu moja. Japo kuwa dalili za awali usemekana....
Status (New or used?):
Mpya
Product Location:
Dar es salaam ilala boma
Shop/Seller's Name:
Pandex herbal clinic
Communications:

Download our app on Google Play
Recent Products
Nyumba ya ghorofa tatu inauzwa (Four floors house for sale)
Last view
2023-06-10 17:41:16Ngiri/ Hernia/mshipa/kuvimba kwa mshipa/ korodani kuuma/korodani kuvimba/kukosa haja kubwa/
Last view
2023-06-10 17:38:30Product Description
Others by Pandex herbal clinic
Ngiri/ Hernia/mshipa/kuvimba kwa mshipa/ korodani kuuma/korodani kuvimba/kukosa haja kubwa/
Visits
TZS 97,000Bawasiri/miwasho sehemu ya haja kubwa/damu wakati wa haja kubwa/kinyama sehemu ya haja kubwa/kukosa
Visits
TZS 97,000Acid/acidi/asidi/acidi tumboni/kuzidi acidi tumboni/gesi/kuzidi gesi tumbonj/gesi tumboni
Visits
TZS 85,000
Most Viewed
Bawasiri/miwasho sehemu ya haja kubwa/damu wakati wa haja kubwa/kinyama sehemu ya haja kubwa/kukosa
The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world
Maishaboratz (0752962267)
?KUTOKANA NA UZOEFU MATIBABU YA TATIZO HILI
(BAWASIRI)
Familiar vizuri????
?KAWAIDA YA KANSA yoyote huanza tu pale ambapo seli hai kwenye sehemu ya mwili zinazaliana bila kukoma.
Hali hii ufanya nyama ilundikane sehemu moja. Japo kuwa dalili za awali usemekana kufanana na ZA BAWASIRI.
Mfano. Miwasho, maumivu makali, Damu kutoka wakati mwengine, kuota kinyama n.k
______________________________
Lakini....!
?KAWAIDA YA BAWASIRI: Ni hali ya kudhoofika kwa kuta za mishipa ya Damu aina ya veins eneo la haja kubwa. Na hii uanza taratibu na huwa inakuja na kuondoka kipindi fulani. Na hii inatoka hasa na mtindo wa kawaida wa mtu husika. Kama vichochezi vitapungua inapotea,
Vikiongezeka inarudi. Hii hali ikiendelea huweza kujenga usugu wa tatizo lenyewe. Na dalili zake pia zinakaribiana mno na Tabia ya Kansa, kama vile miwasho, kuvimba kwa seli, Damu kutoka na maumivu wakati mwingine.
============================
?Mishipa ya damu inapo vimba aidha kwa ndani au kwa nje hukakamaa, na mwishoe ikipasuka inaleta madhara makubwa sana kwa mtu.
________________________________
?Kwahiyo basi: HATA MATIBABU YA TATIZO HILI.
Kiufahamu yanatakiwa mtu atibiwe kuanzia ndani kuelekea nje, hii ni kwasababu asilimia kubwa za bawasiri huanzia ndani kisha kuchomoza nje asa wakati wa kujisaidia haja kubwa kwa mtu.
________________________________
?Kama unasumbuka na hili tatizo kwa mda mrefu sana, tunaweza kukusaidia vema kabisa.
________________________________
?TUMA UJUMBE Whtspp au nenda pale juu ya profile ubofye link itakuleta kwa daktari moja kwa moja. Mkoa ulipo utahudumiwa bila wasiwasi.
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
- Superb quality products
- Genuine items
- Affordable prices
- Instant response
- One stop center for all
- Guarantee
- Latest items fashion and releases
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread
Add Reviews
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Your Rating