Product Details

Acid/acidi/asidi/acidi tumboni/kuzidi acidi tumboni/gesi/kuzidi gesi tumbonj/gesi tumboni

1932
Views

Price

85,000 TZS

Quick Overview :

Gastroesophageal reflux disease (GERD). -Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la....

Status (New or used?):

Mpya

Product Location:

Dar es salaam ilala boma

Shop/Seller's Name:

Pandex herbal clinic

Communications:


Share via Whatsapp

Get it on Google PlayDownload our app on Google Play

Recent Products

No preview available
Mitandio mipya

Last view

2024-09-17 09:04:15
TZS 10,000
No preview available
Pochi la mkononi (Purse)

Last view

2024-09-17 09:04:14
TZS 25,000
No preview available
Ramani (plan) ya Nyumba vyumba 4

Last view

2024-09-17 09:03:11
TZS 200,000
No preview available
Saa Ya mkononi (Wrist watch)

Last view

2024-09-17 09:03:09
TZS 25,000
No preview available
Saa za Ukutani za Urembo kwa order

Last view

2024-09-17 09:03:08
TZS Contact Seller
No preview available
Ramani vyumba 5 bedrooms house plan

Last view

2024-09-17 09:02:56
TZS 220,000
No preview available
Madirisha na milango ya Welding

Last view

2024-09-17 09:02:08
TZS Contact Seller
No preview available
chocolate misra

Last view

2024-09-17 09:01:30
TZS 8,000

Product Description

Others by Pandex herbal clinic

Most Viewed

Acid/acidi/asidi/acidi tumboni/kuzidi acidi tumboni/gesi/kuzidi gesi tumbonj/gesi tumboni

The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world

Gastroesophageal reflux disease (GERD).

 

-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

 

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.

 

 

 

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux

 

-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:????

 

1.?? Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.

 

2.?? Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.

 

3.?? Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.

 

4.?? Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.

 

5.?? Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi.

 

6.?? Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.

 

7.?? Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.

 

8.?? Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.

 

9.?? Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.

 

10.?? Kupata kikokozi kisichoisha

 

11.?? Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.

 

12.?? Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.

 

13.?? Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki

 

14.?? Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).

 

15.?? Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.

 

16.?? Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.

 

17.?? Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.

 

18.?? Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.

 

19.?? Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.

 

20.?? Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.

 

21.?? Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.

 

22.??Kichefuchefu na kutapika.

 

 

 

MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI

 

1.?? Uvutaji wa sigara

 

2.?? Unywaji wa pombe

 

3.?? Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk

 

4.?? Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa

 

5.?? Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.

 

6.? Kutumia baadhi ya Madawa kama vile ASPIRIN

 

7.?? Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)

 

8.?? Kuwa Mjamzito

 

9.?? Uzito kupita kiasi (Obesity)

 

10.?? Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

 

MTIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD

 

-Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili kama ifuatavyo:????

 

 

MATIBABU YA KISASA

 

-Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers kama vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)

 

-esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk.

 

Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.

 

 

 

2?? MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA.

 

-Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea kutibu kiini cha tatzo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake.

 

-Ziko dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatzo ya ACID nying tumboni,mfano wa dawa hizo ni PEPTICOL POWDER,PEPTIC ULCERS + Nk.

 

Wasiliana nami kwa msaada zaidi wa kitaalamu katika kupambana na tatizo hili na mengine.

 

PANDEX HERBAL CLINIC

 

ILALA-DAR ES SALAAM

 

PANGANI-STREET

 

+255752962267

 

+255687221365

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

  • Superb quality products
  • Genuine items
  • Affordable prices
  • Instant response
  • One stop center for all
  • Guarantee
  • Latest items fashion and releases

This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all

We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread

Add Reviews

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Your Rating

Similar products

Mpya

SALE

Sony Xperia Z1 16GB
1 Remaining

TZS 300,000

Details

Mpya

SALE

Solar panel
120 Remaining

TZS Contact Seller

Details

Mpya

SALE

Stronger tech blenders
20 Remaining

TZS 220,000

Details

Mpya

SALE

Laptop Lenovo Z370
1 Remaining

TZS 950,000

Details

Mpya

SALE

Earphone samsung s7
50 Remaining

TZS 20,000

Details

Mpya

SALE

Miwani ya bluetooth
50 Remaining

TZS 35,000

Details

Mpya

SALE

Headset za bluetooth
50 Remaining

TZS 25,000

Details

Mpya

SALE

Tecno WX4 for sale
20 Remaining

TZS 180,000

Details

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

+ Tangaza bidhaa

© 2024 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili