Product Details
Dawa ya kutibu kiungulia sugu
Price
Contact Seller TZS
Quick Overview :
?
Zipo hatua 4 ambazo GERD (kuzid kwa acid tumbon) hupitia,hatua hizo ni kama ifuatavyo:
A .HATUA YA KWANZA (MILD GERD).
Wengi katika watu wanaosumbuliwa na GERD huangukia katika hatua hii ya kwanza ya GERD ambapo tatizo huwa katika hatua za mwanzo sana.
DALILI ZA GERD HATUA YA KWANZA (MILD....
Status (New or used?):
New
Product Location:
Dar es salaam
Shop/Seller's Name:
Kasudia Herbal
Communications:
Download our app on Google Play
Recent Products
Product Description
Others by Kasudia Herbal
Most Viewed
Dawa ya kutibu kiungulia sugu
The product is in good condition and conforms to both international and national standards, It is recommended to anyone looking for genuine items, further details can be obtained by contacting the user from the contact details provided above, please feel free to contact us any time for more info and products, we import our products from various well renowned countries around the world ? Zipo hatua 4 ambazo GERD (kuzid kwa acid tumbon) hupitia,hatua hizo ni kama ifuatavyo: A .HATUA YA KWANZA (MILD GERD). Wengi katika watu wanaosumbuliwa na GERD huangukia katika hatua hii ya kwanza ya GERD ambapo tatizo huwa katika hatua za mwanzo sana. DALILI ZA GERD HATUA YA KWANZA (MILD GERD) 1. Kiungulia 2. Maumivu ya kifua 3. Kuhisi kama kuna vitu vya kunata katika kooni 4. Kucheua chakula au vinywaji ? Katika Hatua hii,mtu anaweza kujitibia kwa kubadili mfumo wake wa maisha kwa kuepuka vyakula na mifumo isiyofaa kutokana na hali yake mfano ajiepushe na Caffeine, pombe,vyakula vyenye mafuta mengi nk. Lakini pia ni rahisi mgonjwa kupona akitumia dawa katika hatua hii ya awali. B. HATUA YA PILI YA GERD (MODERATE GERD) Katika hatua hii,watu wenye GERD hupatwa na dalili za GERD mara kadhaa ndani ya wiki na dalili zake hutokea mara kwa mara ukilinganisha na Hatua ya kwanza na dalili huanza kuwa kali kiasi. DALILI ZA GERD HATUA YA PILI (MODERATE GERD) 1. Kiungulia kikali kiasi 2. Maumivu ya kifua 3. Kuhisi uteute wenye kunata kooni 4. Kucheua chakula au vinywaji 5. Moyo kupaparika (Heart palpation) ? Katika hatua hii,mtu anahitajia matibabu ya dawa pia kumshirikisha daktari kwaajili ya ushauri wa kimatibabu na dawa. C. HATUA YA TATU YA GERD (SEVERE GERD) Katika hatua hii, asilimia 15% ya wagonjwa waliopo katika hatua hii hupata dalili za GERD kali mara nyingi zaid kwa wiki au kila siku. DALILI ZA GERD HATUA YA TATU (SEVERE GERD) 1. Kiungulia kikali 2. Kucheua sana chakula na vinywaji na wakati mwingine kucheua Acid (uchachu) 3. Kuvimba kwa koo(sore throat) 4. Kikohozi kisichoisha 5. Sauti ya kukwaruza 6. Mapigo ya moyo kwenda kasi 7. Wasiwasi uliopita kiasi bila sababu 8. Kuota ndoto za kutisha 9. Kichwa Kuvurugika na kuhisi kuchanganyikiwa 10. Kizunguzungu 11. Maumivu ya kichwa 12. Macho kupungua nguvu ya kuona 13. Maumivu makali ya mgongo 14. Mwili kudhoofika 15. Kuhisi dunia imekutenga 16. Kujisaidia choo kigumu zaidi. ? Katika hatua hii,GERD isipochukuliwa hatua basi kuna hatari ya mtu kupata matatzo makubwa zaid ya kiafya kama vile KANSA YA KOO (EUSOPHAGEAL CANCER). D. HATUA YA NNE YA GERD (REFLUX-INDUCED PRECANCEROUS LESIONS/ESOPHAGEAL CANCER) Hatua hii inawakilisha matatzo makubwa zaidi kwa GERD ya muda mrefu na inakadiriwa ya kwamba,asilimia 10% ya wagonjwa wa GERD hufikia hatua hii ikiwa GERD haijadhibitiwa kwa muda mrefu. Hatua hii mgonjwa anaweza kupata Kansa ya koo nk. DALILI ZA GERD HATUA YA NNE 1. Kiungulia kikali 2. Kucheua vyakula na vinywaji 3. Sauti kukwaruza 4. Kikohozi kikali 5. Chakula kukwama kooni/kunasa koona wakati wa kula. 6. Pamoja na dalili zote zilizopo katika hatua ya 3 ya GERD. ?Katika hatua hii mgonjwa anaweza kupata changamoto kama vile esophageal strictures, Barrett’s esophagus na hata KANSA YA KOO (esophageal cancers) Call: 0758606089
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
- Superb quality products
- Genuine items
- Affordable prices
- Instant response
- One stop center for all
- Guarantee
- Latest items fashion and releases
This site has always provided with the best match highest quality best products at amazingly unbeatable prices, everytime i look for something to buy this is my first place to turn to, I recommend it to anyone who value their money and those who look for something that they deserve. Big up to the owner the developers and the managers of this wonderful site :) Love ya all
We look forward to serving you as a king! Please drop your reviews for the site and the product you have purchased from the site; we intend to make this site the best and a one stop center for all and for everything someone is looking for; any troubles of fraud you have encontered please report them to us direclty using Mail Us link so that we can act on it quickly than if they are post in this thread
Add Reviews
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Your Rating