Maelezo ya Bidhaa
Kitabu Comprehensive Chemistry for Secondary schools Solved Topic Test and Sample Examination Book 1
Bei
8,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Kitabu hiki ni mahsusi kwa kumsaidia Mwanafunzi wa Kidato cha kwanza pia ni kitabu kizuri kwa revision kwa mwanafunziwa kidato cha pili hadi nne katika somo la Chemistry.
Kitabu kinaitwa Comprehensive Chemistry for Secondary School Solved Topic Test and Sample Examination Book 1.
Tofauti na....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Dar es salaam
Jina la duka/Muuzaji:
Buyo Bookshop
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
Kitabu Comprehensive Chemistry for Secondary schools Solved Topic Test and Sample Examination Book 1
Imeangaliwa
2024-09-13 07:11:21Maelezo Zaidi
Kitabu Comprehensive Chemistry for Secondary schools Solved Topic Test and Sample Examination Book 1
Kitabu hiki ni mahsusi kwa kumsaidia Mwanafunzi wa
Kidato cha kwanza pia ni kitabu kizuri kwa revision kwa mwanafunzi
wa kidato cha pili hadi nne katika somo la Chemistry.
Kitabu kinaitwa Comprehensive Chemistry for Secondary School
Solved Topic Test and Sample Examination Book 1.
Tofauti na vitabu vingine kitabu hiki pia kinampa mwanafunzi
mbinu bora za kujisomea, ndani ya kitabu hiki mwanafunzi atajifunza
tabia tano muhimu za wanafunzi wanaofanya vizuri
kwa kawaida wanafunzi wote bora huwa wana tabia zinazofanana hasa
katika mbinu za usomaji wao na jambo la ajabu tabia hizi si za kurithi
ni tabia ambazo mwanafunzi yeyote anaweza kuzipata tatizo ni kuzijua
na kuzifanyia kazi tu.
Hivyo ndani ya kitabu hiki mwanafunzi atafanya mazoezi kwa mujibu
wa syllabus pia atafanya mitihani ya kujipima na majibu yake mwisho wa kitabu
zaidi atazijua mbinu bora za usomaji(5 CHARACTERISTICS OF SUCCESSFUL STUDENT)
ili awe ni miongoni mwa wanafunzi bora katika shule yake
kitabu kinapatikana kwa gharama ya Tsh 8,000/= tu tuma pesa yako kwa namba
hii 0655 001 633 Jina ni JUMA ATHUMAN
Mara baada ya malipo tutawasiliana ulipo na kitabu kitaletwa hapo ulipo ndani ya DSM
Kwa walio mikoani kitabu kitatumwa kwa njia ya basi hivyo utalipia sh 5000 ya usafiri
Jumla itakuwa ni Tsh 13,000/=
FAIDA YA ZIADA
Mtunzi wa kitabu atakuwa akifuatilia kwa karibu maendeleo ya mwanafunzi kwa
kushirikiana na mzazi/mwalim ili kuhakikisha faida iliyokusudiwa inapatikana
Pia tunaweza kuwasiliana kuangalia namna bora ya kufanya presentation
ya studying skills kwa wanafunzi hii ni special kwa waalim wa mashule
au wazazi kwa wanafunzi wa kutwa.
Nakala za kitabu hiki zipo chache sana hivyo ni bora kufanya manunuzi mapema
Muhimu lipia pesa sasa Tsh 8000/- DSM au Tsh 13,000 Kwa walio MIKOANI
kwa namba hizi 0655 001 633 tuweze kumsaidia
mwanafunzi kuna mengi ya kujifunza zaidi ya kununua kitabu
Karibu sana Rafiki mfahamishe na mwenzako ujumbe huu.
Nimimi Rafiki Yako
ATHUMAN Juma BuyoGeLa
0655 001 633.
www.mobilespecialschool.com
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako