Maelezo ya Bidhaa

BAWASIRI NI NINI?

Imetembelewa mara
2024

Bei

Maelewano

Maelezo kiufupi :

*Bawasiri ni nini?* -Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk ??Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

ilala

Jina la duka/Muuzaji:

Pandex herb

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
BAWASIRI NI NINI?

Imeangaliwa

2024-04-25 03:28:20
TZS Bei Maelewano
No preview available
Fundi jipsam (gypsum) ceiling

Imeangaliwa

2024-04-25 03:19:15
TZS Bei Maelewano
No preview available
Mapazia Na vitambaa vya mapazia quality bei poa

Imeangaliwa

2024-04-25 03:16:55
TZS Bei Maelewano
No preview available
sofa set

Imeangaliwa

2024-04-25 03:11:49
TZS Bei Maelewano
No preview available
DAWA ASILIA YA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO KWA HARAKA ZAIDI

Imeangaliwa

2024-04-25 02:56:17
TZS Bei Maelewano
No preview available
Seti ya Visu vya nyumbani

Imeangaliwa

2024-04-25 02:46:52
TZS 28,000
No preview available
NYUMBA

Imeangaliwa

2024-04-25 02:42:06
TZS Bei Maelewano

Maelezo Zaidi

BAWASIRI NI NINI?

*Bawasiri ni nini?* -Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk ??Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu *MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI* ?? Uzito kupita kiasi(Overweight) ?? Ujauzito ?? Unywaji pombe ?? Kukaa sana sehemu ngumu ?? Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa. ?? Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni: -Vidonda vya TUMBO -Ngiri/Hernia -Ulaji duni ?? Kula sana nyama nyekundu ?? Presha ya kupanda ?? Kula sana pilipili ?? Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo) AINA ZA BAWASIRI?? -Kuna aina 2 za Bawasiri kama ifuatavyo???? 1?. BAWASIRI YA NJE Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa. 2??.BAWASIRI YA NDANI Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri ya ndan ina hatua NNE ambazo ni:???? 1. *HATUA YA KWANZA* Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekan wakati wa kujisaidia. 2. *HATUA YA PILI* Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia 3. *HATUA YA TATU* Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurud yenyewe baada ya muda 4. *HATUA YA NNE* Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia. *DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI* 1.?kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa 2.?kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa 3.?kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa 4.?kupata kinyesi chenye damu 5.?kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia 6.? Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya _NJIA ZA KUJIKINGA DHIDI YA BAWASIRI_* 1.?Kula mboga za majani na nafaka zisizo kobolewa kwa wingi 2.?kunywa maji mengi 3.?Acha kufanya mapenzi kwa kutumia tundu la haja kubwa (kulawitiwa) 4.?Punguza kukaa chooni kwa muda mrefu, kunaweza kuongeza shinikizo katika njia ya haja kubwa. 5.? Acha kunywa pombe 6.?Punguza kula nyama nyekundu 7.?Punguza matumizi ya pili pili. 8.?Jitibie vidonda vya tumbo 9.? Jitibie Ngiri 10.? Dhibiti uzito wako 11.? Jiepushe/punguza kunyanyua vitu vizito mara kwa mara *ATHARI ZA BAWASIRI* 1.?Upungufu wa damu mwilini 2.?Kutokwa na kinyesi bila kujitambua 3.?kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa 4.?kupungukiwa nguvu za kiume 5.?kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu 6.?Kupata tatizo la kisaikolojia 7.?Kutopata ujauzito 8.? Mimba kuharibika 10.? Kupata kansa ya utumbo ( *Colorectal cancer*) 11.? Mwili kudhoofika _MAMBO YA KUFANYA KWA MWENYE BAWASIRI ILI KUPATA AHUENI NA MAUMIVU YA BAWASIRI_* Dr Kasudia ? 1?Epuka matumizi ya vilevi/pombe. 2? Epuka matumizi ya pilipili. 3? Epuka kukaa sana sehemu ngumu kwa muda mrefu. 4?Epuka matumizi ya nyama nyekundu kama vile nyama ya mbuzi,ng'ombe na Kondoo 5? Epuka Kuingiliwa/kufanya mapenzi sehemu ya haja kubwa. 6?Punguza vyakula vya mafuta 7?Epuka/punguza unyanyuaji wa vitu vizito. 8? Punguza matumizi ya vyakula vya ngano. 9? Epuka kula vyakula vyenye kusababisha choo kuwa kigumu. 10? Jitibie magonjwa ya ngiri,vidonda vya tumbo nk. 11.?Jitahid kula Mboga Mboga na matunda katika mlo wako wa kila siku *_Jitahid kutumia juice ya matunda kama vile parachichi,passion na maembe angalau mara 3/5 kwa wiki_* +255758606089 +255715224721 Dr. Kasudia Tiba Asili Tanzania ??

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka Pandex herb

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

zulia
Zimebaki 7

TZS 15,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mapazia design nzuri
Zimebaki 100

TZS 20,000

Maelezo

Mpya

SELI

Milango ya vioo,
Zimebaki 50

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mtumba

SELI

Meza za used za shule
Zimebaki 15

TZS 120,000

Maelezo

Mpya

SELI

Sabuni za maji (liquid
Zimebaki 100

TZS 8,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mapazia ya Vitambaa
Zimebaki 30

TZS 18,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mapazia
Zimebaki 1

TZS 40,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mapazia Weka Oder yako
Zimebaki 10

TZS Bei Maelewano

Maelezo

© 2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English