Maelezo ya Bidhaa
CREAM YA KUINUA MATITI
Bei
60,000 TZS
Maelezo kiufupi :
Wapenzi wetu karibu kwenye cream yetu nguli ya matiti . imetengenezwa na mimea mbalimbali ya asili: Pueraria Mirifica (imesheheni vitamin E, collagen, Elastin, Asali (honey extracts), Ginseng, Silk Protein extracts, Algae extracts, Glycine soja extracts,
Bei Tsh60,000
?Inafanya matiti yako yawe....
Hali (Mpya/imetumika?):
Mpya
Inapatikana wapi:
Ilala
Jina la duka/Muuzaji:
Kweli
Mawasiliano:
Zilizotembelewa hivi punde
VIWANJA VIZAUZWA. VIPO MBUZINI, BEI RAHISI NISEHEMU NZURI NA TAMBARARE.
Imeangaliwa
2025-01-29 02:23:25Maelezo Zaidi
CREAM YA KUINUA MATITI
Wapenzi wetu karibu kwenye cream yetu nguli ya matiti . imetengenezwa na mimea mbalimbali ya asili: Pueraria Mirifica (imesheheni vitamin E, collagen, Elastin, Asali (honey extracts), Ginseng, Silk Protein extracts, Algae extracts, Glycine soja extracts, Bei Tsh60,000 ?Inafanya matiti yako yawe imara, hii cream inashajihisha cell za titi lote na itainua matiti yako, na muonekano wako huboreka sana. ? Cream hii Ina uwezo wa kupenya kwenye titi lako na inashajihisha kukua kwa mammary glands, yaani tezi za maziwa na tissues. ?Hutengeneza ngozi yako ya titi iliyopwerepweta na ngozi iliyosinyaa huimarisha na kuivuta kila kona ya titi na kukuongezea mvuto (inaondoa sagging breasts) Huondoa mtepeto wa titi lilonyonyesha na hujazwa Tena na kuwa na rangi nzuri ya kike upyaa. ?Titi hufanywa kuwa la round lililojaa kama la mwari. ?Cream hii hubadilisha ngozi na muonekano wa titi lako lilochakaa kwa jasho na uvaaji wa sidiria tofauti tofauti, na ngozi hutakata kwa cream hii na kuwa na mvuto wa kipekee na radha ya kimahaba zaidi ? Cream hii hukufanya uwe mwenye kujiamini sana mbele ya wenzako na mwenza wako . ? Matiti yaliyoviringa na yenye ujazo wa kiwango ni fahari ya kitanda cha mwanamke ??? Karibuni saana TUNASAFIRISHA BIDHAA ZETU MIKOA YOTE TANZANIA BARA NA VISIWANI KWA UAMINIFU MKUBWA 0766107722 Whatsapp calls sms
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
- Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
- Bidhaa Oriji
- Bei zenye kununulika
- Huduma kwa wateja nzuri
- Mahali pamoja kwa mahitaji yote
- Gerentii
- Mitindo ya kisasa
Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..
Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana
Weka maoni yako
Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *
Maksi zako