Maelezo ya Bidhaa

Dawa ya Acid REFLUX-GERD

Imetembelewa mara
336

Bei

Maelewano

Maelezo kiufupi :

Pandex Herbal Clinic: TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)  Dr.Liwaya(0755162724) Pandex herbal clinic  Gastroesophageal reflux disease (GERD). -Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid....

Hali (Mpya/imetumika?):

Mpya

Inapatikana wapi:

Dar es salaam, Ilala boma Mtaa wa Pangani

Jina la duka/Muuzaji:

Pandex Herbal Clinic

Mawasiliano:


Share kwenye Whatsapp

Get it on Google PlayPakua app yetu kutoka Google play

zenjishoppazz

Zilizotembelewa hivi punde

No preview available
Dawa ya Acid REFLUX-GERD

Imeangaliwa

2023-09-28 23:06:26
TZS Bei Maelewano
No preview available
DAWA YA KUREFUSHA NA KUNENEPEAHA UUME

Imeangaliwa

2023-09-28 23:05:33
TZS Bei Maelewano
No preview available
Bati za rangi gauge 30

Imeangaliwa

2023-09-28 23:05:27
TZS 20,000
No preview available
sofa set

Imeangaliwa

2023-09-28 23:03:21
TZS Bei Maelewano
No preview available
Mitandio mipya

Imeangaliwa

2023-09-28 23:01:48
TZS 10,000
No preview available
DAWA YA ASILI YA KUTIBU NGIRI/HERNIA BILA UPASUAJI

Imeangaliwa

2023-09-28 23:00:04
TZS Bei Maelewano
No preview available
Earphone samsung s7 jumla na rejareja

Imeangaliwa

2023-09-28 22:55:48
TZS 20,000
No preview available
Mafuta ya kurefusha na kunenepesha Uume

Imeangaliwa

2023-09-28 22:52:09
TZS Bei Maelewano

Maelezo Zaidi

Dawa ya Acid REFLUX-GERD

Pandex Herbal Clinic: TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)  Dr.Liwaya(0755162724) Pandex herbal clinic  Gastroesophageal reflux disease (GERD). -Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.  Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.  DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux -Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:????  1.?? Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula. 2.?? Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo. 3.?? Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa. 4.?? Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu. 5.?? Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi. 6.?? Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa. 7.?? Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini. 8.?? Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati. 9.?? Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili. 10.?? Kupata kikokozi kisichoisha  11.?? Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara. 12.?? Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa. 13.?? Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki 14.?? Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya). 15.?? Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa. 16.?? Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito. 17.?? Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku. 18.?? Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri. 19.?? Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa. 20.?? Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa. 21.?? Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo. 22.??Kichefuchefu na kutapika.  MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI 1.?? Uvutaji wa sigara 2.?? Unywaji wa pombe 3.?? Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk 4.?? Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa 5.?? Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana. 6.? Kutumia baadhi ya Madawa kama vile ASPIRIN 7.?? Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia) 8.?? Kuwa Mjamzito 9.?? Uzito kupita kiasi (Obesity) 10.?? Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.  MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD -Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili kama ifuatavyo:????  1?? MATIBABU YA KISASA -Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers kama vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR) -esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk. Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.  2?? MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA. -Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea kutibu kiini cha tatzo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake.  -Ziko dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatzo ya ACID nying tumboni,mfano wa dawa hizo ni PEPTICOL POWDER Nk.  Wasiliana nami kwa msaada zaidi wa kitaalamu katika kupambana na tatizo hili na mengine.  PANDEX HERBAL CLINIC ILALA-DAR ES SALAAM PANGANI-STREET 0755162724

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

  • Vitu vyenye ubora wa hali ya juu
  • Bidhaa Oriji
  • Bei zenye kununulika
  • Huduma kwa wateja nzuri
  • Mahali pamoja kwa mahitaji yote
  • Gerentii
  • Mitindo ya kisasa

Mtandao huu una bidhaa nzuri tena zenye bei nafuu, Kila ninapotafuta bidhaa kwanza huja hapa na huweza kujipatia mahitaji yangu kwa bei poa, Naipendekeza kwa yeyote anayetafuta bidhaa bora. Hongera kwa waendeshaji wa website hii..

Tumekusudia kukuhudumia kama mfalme! Tafadhali weka maoni yako kuhusu mtandao huu; tumeazimia kuufanya mtandao mmoja kwa ajili ya mahitaji yote, kama umepata tatizo la udanganyaji au bidhaa feki au jengine lolote usisite kutujulisha moja kwa moja kupitia Mail Us au namba 0655 063 601 ili tuweze kulishughulikia haraka sana

Weka maoni yako

Email yako haitawekwa wazi, maelezo yanayohitajika yamewekwa alama ya *

Maksi zako

Bidhaa nyengine kutoka Pandex Herbal Clinic

Zilizotembelewa sana

Bidhaa zinazofanana

Mpya

SELI

Mikoba ya shule
Zimebaki 10

TZS 38,000

Maelezo

Mpya

SELI

Baby shoe's
Zimebaki 10

TZS 35,000

Maelezo

Mpya

SELI

Medical students'
Zimebaki 300

TZS 170,000

Maelezo

Mpya

SELI

Dummy Test Product
Zimebaki 12

TZS 12,000

Maelezo

Mpya

SELI

Mlango wa aluminium
Zimebaki 1

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

Kitabu Comprehensive
Zimebaki 48

TZS 8,000

Maelezo

Mpya

SELI

Keki
Zimebaki 30

TZS Bei Maelewano

Maelezo

Mpya

SELI

2SA Security Service
Zimebaki 44

TZS Bei Maelewano

Maelezo

© 2023 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English