Fundi Rangi

Jina (Name):

CASHIAMZ

Elimu (Qualification):

Form 4 2009

Uwezo(Skills):

Fundi Umeme, Fundi Welding, Fundi Kompyuta, Seremala, Fundi Mafriza na AC, Fundi Ujenzi, Mpishi, Mpakaji piko, Fundi Rangi, Mchoraji Fulana, Fundi simu, Mchoraji ramani, Fundi vitu vya Electronics, Fundi dari na gypsum bodi,

Uzoefu(Experience):

12

Maelezo kiufupi:

Mimi ni mtaalamu wa vifaa mbalimbali vya umeme Kama vile 1. kuunda generator isiyotumia mafuta 2. Kuunda umeme wa nguvu za maji kwa kutumia ndoo za maji, 3. Kuunda Motor aina ya axial flux motor, induction motor na aina zinginezo nyingi zinazotumia umeme wa AC na DC kwa ajiri ya kuendeshea pikipiki, Baiskeli, fan, Grinder, Bajaji, misumeno, gari dogo,uselemala,Kusaga unga nk. 4. Pia naunda fan zisizotumia umeme,Blender kubwa,Mashine za kufua nguo,Mashine ya kukatia mboga mboga nk, 5. Naunda Switch za kuwasha taa na kifaa chochote cha umeme kwa kupiga makofi,kuongea,Kutazama, kugusa, kujongea( motion sensor) kupiga simu ukiwa mbali, 6. Naunda vifaa vya kukuzia muziki na menineyo mengi 7. Pia tunawezesha simu zote za Android kufanya kazi zote za computer Kama vile, kutengeneza passport size,Kuchora ramani,za Majengo,kuprint document,ku edit videos,picha,kuchonga beats za nyimbo,kupiga keyboard giter,Vinanda,kurekodi wimbo kwa kutumia beat,kuingiza back vocal na kufanya mixing zote kwa kutumia simu, kuipa jina simu Kisha kuita kwa jina na kuitika na mengine mengi usiyojua kuhusu simu

Phone 1:

0612369829

Phone 2:

742029594

©2024 Zenji Shoppazz . Haki zote zimehifadhiwa | Imetengenezwa na W3layouts and Zenji Shoppazz Chagua lugha : English