Nafasi za Kazi ...timiza ndoto zako!
Samahani! Hakukupatikana matangazo ya Nafasi za Kazi kwa sasa tafadhali endelea kututembelea kwa nafasi za kazi, Scholarships na bidhaa mbali mbali.Karibu tena!!
1. Nafasi ya Kazi Administrative Officer Zanzibar University Pemba
Applications are invited from suitably qualified persons to fill the vacant post of Administrative Officer of Zanzibar University - Pemba campus. Qualifications: An applicant must be a holder of a degree in Public Administration, Human Resources, Law, Business....Chanzo: ZU Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-15
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 8750...Deadline: 2018-09-20 15:30:00
2. Nafasi ya Kazi Tarishi Zanzibar University
NAFASI ZA KAZI. Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) Kinatangaza nafasi ya kazi ya Tarishi. Sifa za mwombaji: Awe na cheti cha sekondari (kidato cha nne); Awe na uwezo wa kufanya kaz ikwa kujitegemea kulingana na maelekezo atakayopewa; Awe....Chanzo: ZU Website
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-15
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 14542...Deadline: 2018-09-20 15:30:00
3. Nafasi za Kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati kama ifuatavyo:- 1.Mhandisi Ujenzi (Civil Engineers) Daraja la II “Nafasi 3” – Unguja “Nafasi 2 Pemba” Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-09
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 19197...Deadline: 2018-09-13 15:30:00
4. Nafasi ya Kazi Nurse Tasakhtaa Global Hospital
Company Industry Healthcare Job Level Mid level Work Type Full Time Minimum Qualification Diploma Years of Experience 2 years Description Responsibility; Assessing, Planning, Implementing, Nursing interventions and Evaluating Patients outcomes. Providing....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-04
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 20234...Deadline: 2018-09-24 15:30:00
5. Nafasi Ya Kazi Technical Field Implementer ICT
Business / Employer name D-tree International Company Industry NGO Job Level Mid level Work Type Full Time Minimum Qualification Diploma Years of Experience 2 years Location Other Zanzibar District Zanzibar Description Reports to: Program....Chanzo: Zoom Tanzania
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-04
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 11145...Deadline: 2018-09-24 15:30:00
6. Scholarships Oxford University
Brief description: The Clarendon Fund is a major graduate scholarship scheme at the University of Oxford, offering around 140 new scholarships every year. Clarendon Scholarships are awarded on the basis of academic excellence and potential across all degree-bearing subjects at graduate....Chanzo: www.scholars4dev.com
Tarehe ya kutolewa: 2018-09-04
Mahali pa kazi/tukio: Oxford University Imetembelewa mara 8727...Deadline: 2019-01-25 15:30:00
7. Nafasi za Kazi ofisi ya Mufti Pemba
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Ofisi ya Mufti kama ifuatavyo:- 1.Afisa Fat-wa Daraja la II “Nafasi 1” Pemba Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe na elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Sheria au masomo ya Kiislamu....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-28
Mahali pa kazi/tukio: Pemba Imetembelewa mara 16671...Deadline: 2018-08-31 15:30:00
8. Nafasi za Kazi DMI, IAA na TFDA
On behalf of Dar es Salaam Maritime Institute (DMI), Institute of Accountancy Arusha (IAA) and Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 25 vacant posts as mentioned below; BOFYA HAPA KUPAKUA....Chanzo:
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-28
Mahali pa kazi/tukio: Tanzania Imetembelewa mara 17503...Deadline: 2018-09-06 15:30:00
9. Nafasi za Kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Nyumba Maji na Nishati Unguja na Pemba kama ifuatavyo:- 1. Mtunza Ghala Daraja la III “Nafasi 1” – Unguja na “Nafasi 1” Pemba Sifa za Waombaji: • Awe ni Mzanzibari. •....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-20
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 16970...Deadline: 2018-08-24 15:30:00
10. Nafasi za Kazi wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale kama ifuatavyo:- IDARA YA UENDESHAJI NA UTUMISHI: 1.Karani Masjala Daraja la III “Nafasi 2” Sifa za Waombaji: •Awe ni Mzanzibari. •Awe na elimu....Chanzo: Utumishi Zanzibar
Tarehe ya kutolewa: 2018-08-20
Mahali pa kazi/tukio: Zanzibar Imetembelewa mara 26902...Deadline: 2018-08-24 15:30:00
Nafasi za Kazi
Zilizofanyiwa promo
Zilizotembelewa sana
Bidhaa Zote
