Matangazo ya huduma ufundi na ujuzi
Pakua app yetu kutoka Google play
Karibu, Hapa utaweza kupata walimu(Kama private tutors wa kusomesha majumbani), madaktari(kama vile daktari wa familia), mafundi wa aina tofauti na wafanyakazi kama vile wafanyakazi wa ndani. Wewe pia unaweza kutangaza ujuzi, kipaji chako bofya hapa

Jina (Name):
Abuu Yahya
Elimu (Qualification):
BSc in Telecom Engineering, UDSM, 2009
Uwezo(Skills):
Mwalimu wa Qur-an, A-level Mathematics, A-level Physics, A-level Chemistry, O-level Mathematics, O-level Physics, O-level Biology, O-level Chemistry,
Uzoefu(Experience):
Miaka 3
Maelezo kiufupi:
Competent in Mathematics, Physics, IT and Chemistry can do Biology and English
Phone 1:
0655063601 Phone 2:
0

Jina (Name):
Eng: Magambo
Elimu (Qualification):
BSC in Mechanical Engineering UDSM (Present)
Uwezo(Skills):
Mwalimu wa Qur-an, A-level Mathematics, A-level Physics, O-level Mathematics, O-level Physics,
Uzoefu(Experience):
Miaka 3
Maelezo kiufupi:
Nafundisha Physics na Mathematics O level na A level nikiwa kama mwalimu binafsi (Private tutor) wa majumbani (Nitakufuata ulipo) au kama mwalimu wa shule. Tafadhali wasiliana name kupitia namba zilizoainishwa hapa
Phone 1:
255657443855 Phone 2:
768858956

Jina (Name):
Teacher Twaha
Elimu (Qualification):
BSc in Telecom Engineering, ZU (present)
Uwezo(Skills):
Mwalimu wa Qur-an, A-level Mathematics, A-level Physics, A-level Chemistry, Basic Applied Mathematics, O-level Mathematics, O-level Physics, O-level Chemistry,
Uzoefu(Experience):
Miaka 3
Maelezo kiufupi:
Nasomesha skuli na wanaohitaji kusomeshwa nyumbani kwao
masomo kama vile Mathematics, Physics na Chemistry Advance na O level.
Tafadhali wasiliana nami kupitia namba zangu hapo chini
Phone 1:
0778208371 Phone 2:
0

Jina (Name):
MOH
Elimu (Qualification):
Bsc in Education, UDSM2012
Uwezo(Skills):
A-level Mathematics, A-level Chemistry, O-level Mathematics, O-level Physics, O-level Chemistry,
Uzoefu(Experience):
Miaka 5
Maelezo kiufupi:
Mobile phone, laptop repair and maintenance
Phone 1:
0717824828 Phone 2:
0

Jina (Name):
Mmalawi
Elimu (Qualification):
BSc in Information Technology with education, ZU,2018
Uwezo(Skills):
A-level Geography, A-level History, O-level Geography, O-level History, Civics,
Uzoefu(Experience):
Teaching Practices
Maelezo kiufupi:
Mimi Abdallah Haji Aly, ni kijana mwenye elimu ya ngazi ya shahada ya 'BSc in Information Technology with education, ZU,2018' ni mwalimu wa masomo ya Geography na Computer (ICT) ila pia ninaweza kusomesha masomo ya History na English kwa O-Level na A-Level. Nilmeshawahi kufanya kazi ya ualimu katika shule tofauti kama vile;
1. Chasasa Secondary School iliyopo Wete Pemba nilipokua katika mafunzo ya vitendo 'Teaching Practices' (Geography and Computer subjects) O-level.
2. Moh'd Juma Pindua Secondary School iliyopo Mkoani Pemba nilipokua katika mafunzo ya vitendo 'Teaching Practices' (Geograpy and Computer subjects) A-Level and O-level.
3. Stone Town International School iliyopo Migombani Zanzibar (English, Civics and History subjects) nikiwa kama mwalimu wa muda.
Phone 1:
0772896054 Phone 2:
620544989

Jina (Name):
Habibu Ismail
Elimu (Qualification):
Bachelor of education
Uwezo(Skills):
A-level Mathematics, O-level Mathematics, O-level Physics,
Uzoefu(Experience):
5
Maelezo kiufupi:
Kuuza mitihani na majibu yake hasa ya somo la fizikia na hesabu kwa kidato cha kwanza hadi cha nne
Phone 1:
0754552600 Phone 2:
659170353

Jina (Name):
binrajab
Elimu (Qualification):
BSc in education, Suza,2017)
Uwezo(Skills):
A-level Mathematics, Basic Applied Mathematics, O-level Mathematics, O-level Chemistry,
Uzoefu(Experience):
Miaka 4
Maelezo kiufupi:
Naitwa moh'd KOMBO RAJAB ni mwalimu wa chemistry na mathematics pia ni mtunzi wa VITABU vya maswali na majibu ya mitihani ya Zanzibar. VITABU vipo anaehitaji anitafute
Phone 1:
0776581109 Phone 2:
716985187

Jina (Name):
Master
Elimu (Qualification):
BED in science , UDOM,2022
Uwezo(Skills):
A-level Physics, Basic Applied Mathematics, O-level Mathematics, O-level Physics, O-level Chemistry,
Uzoefu(Experience):
Miezi 2
Maelezo kiufupi:
Stationery attendance
Phone 1:
0715275449 Phone 2:
0

Jina (Name):
Abuu Yahya
Elimu (Qualification):
BSc in Telecom Engineering, UDSM, 2009
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi Mifereji,
Uzoefu(Experience):
Miaka 3
Maelezo kiufupi:
Fundi vitu kama pasi, blender, computer, mifereji, na matatizo madogo ya umeme wasiliana nasi kupitia namba hapa chini..tunakufuata ulipo, bei nafuu
Phone 1:
0655063601 Phone 2:
0

Jina (Name):
Fahari Architects
Elimu (Qualification):
Diploma in Civil Engineering
Uwezo(Skills):
Fundi Ujenzi, Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
Miaka 2
Maelezo kiufupi:
House plans design and drawings, roof plans design and drawing, site survey and planning, civil engineering, supervision, bill of quantity
Phone 1:
0779133536 Phone 2:
0

Jina (Name):
Teacher Twaha
Elimu (Qualification):
BSc in Telecom Engineering, ZU (present)
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi simu, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
Miaka 2
Maelezo kiufupi:
Natengeneza vitu kama Kompyuta (Hardware na Software), simu, pasi, majagi ya umeme, feni, house wiring, rice cooker na vyenginevyo.
NIpigie whatsapp au sms kupitia namba za hapo chini nitakufuata ulipo.
Phone 1:
0778208371 Phone 2:
0

Jina (Name):
KAMAL
Elimu (Qualification):
INFORMATION TECHNOLOGY AND JOURNALISM
Uwezo(Skills):
Uzoefu(Experience):
4
Maelezo kiufupi:
Computer trouble shooting ,website designing
Phone 1:
0772850620 Phone 2:
2147483647

Jina (Name):
Fundi Ahmed
Elimu (Qualification):
Never attended school
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta,
Uzoefu(Experience):
Miaka 25
Maelezo kiufupi:
Matengenezo ya mashine za ofisini computers, printers,copiers pamoja na kuuza
Phone 1:
0715286710 Phone 2:
774169923

Jina (Name):
Chachari mapoda
Elimu (Qualification):
(eg. BSc in Telecom, ZU,2016)
Uwezo(Skills):
Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
Miaka mitatu
Maelezo kiufupi:
Uchoraji wa ramani
Upimaji viwanja
Setting out za majengo
Phone 1:
0655020211 Phone 2:
772460353

Jina (Name):
yaleke online designer
Elimu (Qualification):
form 4
Uwezo(Skills):
Uzoefu(Experience):
3
Maelezo kiufupi:
Nafanya Kazi zangu za GRAPHICS DESIGN...Hususani katika Kudizain LOGO, LETTER HEAD, BUSINESS CARDS, ROLL UP BANNER na ARTWORK AINA ZOTE
Phone 1:
0765680241 Phone 2:
0

Jina (Name):
khamis wa ukweli
Elimu (Qualification):
kidato cha nne kisha nikajiunga na chuo cha ufundi veta kwa fani ya umeme na nimemaliza level 3eli
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme,
Uzoefu(Experience):
miaka mitatu
Maelezo kiufupi:
elimu yang ni kidato cha nne ,na pia nimesomea driving ,computer pamoja na umeme wa majumban i( electrical installation)
Phone 1:
0773448659 Phone 2:
0

Jina (Name):
Abuu Assed
Elimu (Qualification):
Diploma economic &Finance
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta, Fundi simu,
Uzoefu(Experience):
1
Maelezo kiufupi:
Mimi nina kipaji cha ufundi wa software maintenance kw simu na computer
Phone 1:
0778844356 Phone 2:
0

Jina (Name):
Ayubu jongo
Elimu (Qualification):
Dalasa LA 7
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi Mafriza na AC, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
Nina miaka mi nne
Maelezo kiufupi:
Nafanya waya lingi. Nafunga dish za aina yeyote.fundi wa pasi .deki.feni.TV.sola.py nafanya softwea. And fund fliji
Phone 1:
0629002400 Phone 2:
629002400

Jina (Name):
Mmalawi
Elimu (Qualification):
BSc in Information Technology with education, ZU,2018
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta,
Uzoefu(Experience):
Mwaka 1
Maelezo kiufupi:
Mimi ni kijana ambae nimehitimu elimu ya ngazi ya degree chuo kikuu cha Zanzibar 'Zanzibar University' mwaka 2018. Nimesoma fani ya Teknolojia ya habari pamoja na ualimu (BSc. in Information Technology with education). Kwa sasa najishuhulisha na kazi ya utengenezaji wa website na system kwa ajili ya biasha, pia nimfanyakazi katika kampuni binafsi (SwahiliSoft Technologies Limited) iliyopo mpirani, jengo la ZIC floor namba 3 na kazi zetu kuu ni utoaji wa huduma za teknolojia ya computer(Website Design and Development) pmoja na bidhaa za kiofisi kma Doubble A Paper
Phone 1:
0772896054 Phone 2:
620544989

Jina (Name):
said rajab
Elimu (Qualification):
(eg. BSc in IT, ST JOSEPH,2016)
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
6
Maelezo kiufupi:
Mimi ni mwalimu wamasomo mbali mbali yanayohusiana na computer kama vile microsoft office, website designer, grahics designer,architecture designer,forex trade maintership, pia nifundi wa computer,fundi umeme,fundi wa camera ,fundi wa network,fundi wa fence za umeme
Phone 1:
0773863040 Phone 2:
0

Jina (Name):
Kenerd Mwanyelele
Elimu (Qualification):
Certificate
Uwezo(Skills):
Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
Miezi
Maelezo kiufupi:
Naujuza electronics naunda project mbalimbali kwamfano light sensor( ikifika usiku taa zina waka zenyewe) n.k na pia ni fundi wa redio, Pasi, jug za kuchemshia maji, deki, fan n.k
Phone 1:
0622288860 Phone 2:
0

Jina (Name):
Khatib Mchina
Elimu (Qualification):
Diploma In Civil engineering Karume 2015,Advance diploma In Chinese language at XCU china
Uwezo(Skills):
Fundi Ujenzi, Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
miaka4
Maelezo kiufupi:
Nazungumza lugha ya kichina hivo natoa huduma ya ukalimani na kufundisha kichina.Pia Nina ujuzi katika fani ya uhandisi kwaio anaehitaji kufanyiwa design ya jengo au usimamizi anakaribishwa.
Phone 1:
255626488282 Phone 2:
2147483647

Jina (Name):
Dr.Thaabit/Dr.Mapande
Elimu (Qualification):
Bsc.Agriculture general
Uwezo(Skills):
Seremala,
Uzoefu(Experience):
Miaka Mitano
Maelezo kiufupi:
PEPTIC ULCERS +
Ni dawa asili inayotokana na mchanganyiko wa mimea asili maalumu kwaajili ya kutibu vitonda vya tumbo sugu na dalili zake kama vile??:
?? Maumivu ya Mgongo
?? Tumbo kuwaka moto
?? Gesi inayotokana na asidi ya tumboni(HCL)
?? Huua Bacteria Aina ya Helicobacter Pylori ambao ndio chanzo cha vidonda vya tumbo
?? Hujenga kuta za tumbo ambazo zimeathirika.
?? Hutibu GERD( Gastroesophageal reflux) nk
Dawa hii hutibu aina zote za vidonda vya tumbo kwa asilimia 100% na ni doze ya wiki tatu tu Mpaka tatizo kuisha kabsa Biidhnillaah.
Hutibu PEPTIC ULCERS, Duodenal Ulcers pamoja na Esophageal Ulcers hata kama ni ya muda mrefu kias gan.
Usikate tamaa ya kupona vidonda vya tumbo kwani vidonda vya tumbo vinatibika kwa kutumia dawa hii iitwayo PEPTIC ULCERS + kwa matibabu ya uhakika na kudumu.
Kwa Mahitaji ya dawa hii wasiliana ni kwa mawasiliano yafuatayo??:
+255764516995
+255656198441
E-mail: thabitsayd@gmail.com
Dr.Mapande
Tiba asili,
Tanzania.??.
Phone 1:
0764516995 Phone 2:
656198441

Jina (Name):
Zoba
Elimu (Qualification):
Form 4 kumaliza 2014
Uwezo(Skills):
Fundi pikipiki,
Uzoefu(Experience):
Miaka 5
Maelezo kiufupi:
Hamna
Phone 1:
0777757573 Phone 2:
710862436

Jina (Name):
Musa Technical Group ( M.T.G )
Elimu (Qualification):
Degree of Office Machine Maintenance ( OMM ) at DIT in 2017
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
Miaka 4
Maelezo kiufupi:
Mussa Technical Group ni Wataalau wa Kutengeneza, Kuunza na ushauri juu ya Vifaa vya Maofisini kama vile :-
Photocopy Machine, Computer, Printer, Scanner, Lamination Machine .etc. pia tunasafiri na kufanya kaxi popote na kila siku za wiki.
Mawasiliano na maelezo. juu ya hududuma zetu, Tafadhari wasiliana nasi kupitia nambali :-
+255712140975.
0694053472.
Karibuni sana na M/mungu atubariki sote !
Phone 1:
0712140975 Phone 2:
694053472

Jina (Name):
FUNDI HUSSEIN MTORO
Elimu (Qualification):
MBA(BscIT)
Uwezo(Skills):
Fundi simu,
Uzoefu(Experience):
10
Maelezo kiufupi:
SISI NI MAFUNDI SIMU MAHIRI KARIBU TUKUTATULIE MATATIZO MBALI MBALI YA SIMU YAKO
PIA TUNAUZA SIMU MPYA AINA TOFAUTI TOFAUTI SAMSUNG,OPPO, REDMI MI TECNO INFINIX NA VISWASWADU
Phone 1:
0655198669 Phone 2:
655198669

Jina (Name):
Dentist
Elimu (Qualification):
Form4
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme,
Uzoefu(Experience):
Nnauzoefu wa miaka m
Maelezo kiufupi:
Fanya kazi na mimi ufaidike kwa wakati na kwa bei nafuu
Phone 1:
0673202322 Phone 2:
763771773

Jina (Name):
Eng. Abdul
Elimu (Qualification):
Diploma
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Kompyuta, Fundi Mifereji, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
Miaka sita
Maelezo kiufupi:
CCTV CAMERA INSTALLATION.
NETWORKING.
ELECTRICAL WIRING. (FITTING ZA UMEME)
FITTING ZA MAJI.
COMPUTER MAINTENANCE. (UFUNDI COMPUTER)
Phone 1:
0719071351 Phone 2:
772881891

Jina (Name):
binrajab
Elimu (Qualification):
BSc in education, Suza,2017)
Uwezo(Skills):
Uzoefu(Experience):
Miaka 4
Maelezo kiufupi:
A. Alaykum tuna vitabu tunauza kwa bei nafuu. Vitabu vya maswali na majibu (review) za chemistry na mathematics ndani yake zimo mitihani ya form two ya Zanzibar. Ni kwa ajili ya form one na form two. Karibuni Sana
Phone 1:
0776581109 Phone 2:
716985187

Jina (Name):
Mwinuka Technology
Elimu (Qualification):
DIPLOMA IN ICT , ST. JOSEPH COLLEGE MORO,(2020).
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta,
Uzoefu(Experience):
Miaka 3
Maelezo kiufupi:
Mwinuka Technology Ni wataalamu wa kutengeneza computer , kuuza computer , Ant-virus na vifaa, kuwawezesha kuwasajili wazabuni kuandaa tender Document na kuomba tender za Serikali kupitia mfumo wa Taneps , kuinstall operating system ( window 7,8,10 & 11 ,Ubuntu na Mac os) pia naondoa Admin password na password zote zilizo sahaurika katika computer yoyote , Tunafanya Trouble shooting ya software na hardware pia Tunauza program mbalimbali za Computer.
Phone 1:
0620492533 Phone 2:
0

Jina (Name):
andika jina la umaarufu hapa fundi Omar denge
Elimu (Qualification):
Form 4 chuo ufundi mikunguni tred 2020
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
Miaka 2
Maelezo kiufupi:
Mkuu mimi ni fundi umeme nimefanya kazi za umeme nikiwa ndani ya miaka 2 nimefanya kazi ya kufiting nyumba kupiga waya ring ndani ya nyumba na kurekebisha shoti ndani ya nyumba
Phone 1:
0623629404 Phone 2:
717282043

Jina (Name):
fundi Washing machines
Elimu (Qualification):
Diploma of Electrical engineer _DIT _2012
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Mafriza na AC, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
10yrs experience
Maelezo kiufupi:
We are maintenance and repair the washing machine all types. By Home / office visit.
Our service is :
Washing machines
Air conditioning
Refrigeration
Electrical installation
Mobile
0786305579
Phone 1:
0786305579 Phone 2:
2147483647

Jina (Name):
CASHIAMZ
Elimu (Qualification):
Form 4 2009
Uwezo(Skills):
Fundi Umeme, Fundi Welding, Fundi Kompyuta, Seremala, Fundi Mafriza na AC, Fundi Ujenzi, Mpishi, Mpakaji piko, Fundi Rangi, Mchoraji Fulana, Fundi simu, Mchoraji ramani, Fundi vitu vya Electronics, Fundi dari na gypsum bodi,
Uzoefu(Experience):
12
Maelezo kiufupi:
Mimi ni mtaalamu wa vifaa mbalimbali vya umeme Kama vile
1. kuunda generator isiyotumia mafuta
2. Kuunda umeme wa nguvu za maji kwa kutumia ndoo za
maji,
3. Kuunda Motor aina ya axial flux motor, induction motor
na aina zinginezo nyingi zinazotumia
umeme wa AC na DC kwa ajiri ya kuendeshea pikipiki,
Baiskeli, fan, Grinder, Bajaji, misumeno, gari
dogo,uselemala,Kusaga unga nk.
4. Pia naunda fan zisizotumia umeme,Blender
kubwa,Mashine za kufua nguo,Mashine ya kukatia mboga
mboga nk,
5. Naunda Switch za kuwasha taa na kifaa chochote cha
umeme kwa kupiga makofi,kuongea,Kutazama, kugusa,
kujongea( motion sensor) kupiga simu ukiwa mbali,
6. Naunda vifaa vya kukuzia muziki na menineyo mengi
7. Pia tunawezesha simu zote za Android kufanya kazi
zote za computer Kama vile, kutengeneza passport
size,Kuchora ramani,za Majengo,kuprint document,ku edit
videos,picha,kuchonga beats za nyimbo,kupiga keyboard
giter,Vinanda,kurekodi wimbo kwa kutumia beat,kuingiza
back vocal na kufanya mixing zote kwa kutumia simu,
kuipa jina simu Kisha kuita kwa jina na kuitika na mengine
mengi usiyojua kuhusu simu
Phone 1:
0612369829 Phone 2:
742029594

Jina (Name):
M.T.G IT AND DOCUMENTS SOLUTIONS.
Elimu (Qualification):
CERTIFICATE IN IT AND OMM, VETA, 2017.
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta, Fundi Mafriza na AC, Fundi vitu vya Electronics,
Uzoefu(Experience):
Miak 7
Maelezo kiufupi:
NAITWA MUSSA SADIKI, NI MUANZILISHI WA M.T.G IT AND DOCUMENTS SOLUTIONS. OFISI YANGU INAFANYA HUDUMA ZA UTENGENEZAJI WA COMPUTER, PTINTER, PHOTOCOPY MACHINE, CCTV CAMERA, NOTE COUNTER, N.K.
NOTE : TUMESAJILIWA NA HUDUMA ZETU TUNAFANYA KWA UBORA WA HALI YA JUU. PIA TUNAMFUATA MTEJA KOKOTE ALIKO NDANI YA TANZANIA NA NJE YA TANZANIA NA TUNATOA USHAURI BURE. (RISITI PIA TUNATOA BAADA YA HUDUMA )
Email : info@mtg.co.tz
Contact : 0627 000 176
WhatsApp NO : 0712 140 975.
KARIBUNI SANA!!
Phone 1:
0712140975 Phone 2:
627000176

Jina (Name):
Anika Mclean
Elimu (Qualification):
Soluta aspernatur co
Uwezo(Skills):
Fundi Kompyuta, Fundi Mifereji, Seremala, Fundi Mafriza na AC, Fundi Ujenzi, Fundi pikipiki, Mpishi, Fundi vitu vya Electronics, Fundi dari na gypsum bodi,
Uzoefu(Experience):
Et consectetur illo
Maelezo kiufupi:
Porro amet dignissi
Phone 1:
0689532954 Phone 2:
1

Jina (Name):
Robindrl_studio
Elimu (Qualification):
Master in Architecture
Uwezo(Skills):
Fundi Ujenzi, Mchoraji ramani,
Uzoefu(Experience):
3yrs
Maelezo kiufupi:
Kwa mahitaji ya ramani za nyumba na ujenzi wa ramani ya jengo lolote wasiliana nasi Architects (robindrl_studio),+255687007159,mbezi kinzudi salasala.
Phone 1:
0687007159 Phone 2:
687007159

Jina (Name):
Dr.Thaabit/Dr.Mapande
Elimu (Qualification):
Bsc.Agriculture general
Uwezo(Skills):
Daktari wa Dawa asili,
Uzoefu(Experience):
Miaka Mitano
Maelezo kiufupi:
Kwa majina naitwa THABIT Saidi ni Mtaalamu wa Tiba asili kwa kutumia elimu ya mimea Tiba niliyoipata katika Chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine kilichopo Mkoani Morogoro
Natibu magonjwa mbali mbali kama vile Bawasiri, vidonda vya tumbo,Ngiri/Chango nk.
Phone 1:
0764516995 Phone 2:
656198441

Jina (Name):
DR.MAPANDE/DR.THAABIT
Elimu (Qualification):
BSC.AGRICULTURE GENERAL
Uwezo(Skills):
Daktari wa Dawa asili,
Uzoefu(Experience):
MIAKA 7
Maelezo kiufupi:
PB POWDER
Ni dawa itokanayo na mimea tiba maalumu kwaajili ya kutibu matatizo ya presha,moyo na kupunguza unene/uzito wa mwili kwa muda wa siku chache sana
Ø Hupunguza uzito wa kilo 4-5 kila wiki yaan kila baada ya siku 7.
Ø Hutibu presha ya kupanda na kushuka kwa muda wa wiki moja mpaka wiki.
Ø Huyeyusha mafuta mwilini ambayo ni chanzo cha magojwa mengi hatari kama vile magonjwa ya moyo ,presha na kisukari.
Ø Dawa hii ina uwezo mkubwa sana biidhillah katika kutibu matatizo tajwa
Na kwasasa inapatikana kwa bei ya ofa ambayo ni shilingi elfu 35 tu ya kitanzania
Wahi mapema kabla ofa hii haijafika mwisho.
Kwa mahitaji ya dawa hii wasiliana nami kwa;
Whatsapp/calls: 0764 516 995/0656 198 441
Email: thabitsayd@gmail.com
Dr.Mapande
Phone 1:
0764516995 Phone 2:
656

Jina (Name):
Dr Liwaya
Elimu (Qualification):
Form 4, Azimio Secondary School
Uwezo(Skills):
Daktari wa Dawa asili,
Uzoefu(Experience):
Miaka 3
Maelezo kiufupi:
Dr Liwaya ni tabibu wa Tiba Asilia
Natoa huduma ya ushauri na Tiba Asilia
Ninatibu mbalambali Kama kisukari, presha, Vidonda vya tumbo, ngiri, bawasiri, fangasi sugu, nguvu za kiume na mengineyo mengi kwa kutumia Tiba Asilia. Na patikana Dar es salaam, kwa maelezo zaidi unaweza kunipigia au kunitafuta WhatsApp kwa namba ifuatayo 0717541527. Asanteni
Phone 1:
0717541527 Phone 2:
0

Jina (Name):
Dr Izack
Elimu (Qualification):
Profesa
Uwezo(Skills):
Daktari wa Dawa asili,
Uzoefu(Experience):
Miaka 10
Maelezo kiufupi:
Tunawasaidia wahanga wa magonjwa sugu kwa kutumia mimea asili, vyakula pamoja na ushauri
Phone 1:
0752962267 Phone 2:
687221365

Jina (Name):
FUNDI HUSSEIN MTORO
Elimu (Qualification):
MBA(BscIT)
Uwezo(Skills):
Uzoefu(Experience):
12
Maelezo kiufupi:
EXPERT IN ALL GSM MOBILE INDUSTRY, I SOLVE ALL SOFTWARE AND HARDWARE PROBLEMS.
Phone 1:
0655198669 Phone 2:
655198669

Jina (Name):
Hamza
Elimu (Qualification):
Form 4
Uwezo(Skills):
Msafishaji wa Siku,
Uzoefu(Experience):
Mwaka 1
Maelezo kiufupi:
Mimi masoud abeid ni mfanyakazi wa kawaida ninaomba kazi ya kuendesha gari iwe keri ninayo leseni B1 natafuta bosi wa kunidhamini ili tufanye kazi
Phone 1:
0774714031 Phone 2:
673511619

Jina (Name):
Rammy
Elimu (Qualification):
Form six 2019
Uwezo(Skills):
Msafishaji Nyumba, Mpishi, Mlezi, Mtunza Nyumba, Mtunza bustani, Mlinzi,
Uzoefu(Experience):
2 month
Maelezo kiufupi:
Jina langu ni Rammy nina umri 25 nafanya kazi kwa bidii na ukamilifu nahitaji kazi ya kutizama bustani usafi upishi usafi wa ndani
Phone 1:
0673071854 Phone 2:
0

Jina (Name):
Kagombe
Elimu (Qualification):
form 4 nimeshamaliza
Uwezo(Skills):
Msafishaji Nyumba, Mtunza Nyumba, Mtunza bustani,
Uzoefu(Experience):
Miez 6
Maelezo kiufupi:
Natafuta Kazi jamanii yeyote mnisaidie
Phone 1:
0621427286 Phone 2:
717764318
Aina za Huduma
Bidhaa zetu
Tembelea pia
Zilizotembelewa sana
Chuja kwa Brands
