AFISA UFATILIAJI UBORA WA DAWA SOKONI DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST

General Description

Source: zan ajira



Release date: 2025-08-16



Duty Station: Unguja
7504 visits!... Deadline: 2025-08-30 15:30:00

POST DETAILS

POSTAFISA UFATILIAJI UBORA WA DAWA SOKONI DARAJA LA II-UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERZANZIBAR FOOD AND DRUG AGENCY (ZFDA)
APPLICATION TIMELINE:From: 16-08-2025 To: 30-08-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

Majukumu:

  1. Kushiriki katika utekelezaji wa shughuli za Ufuatiliaji wa Bidhaa Sokoni (PMS).
  2. Kufuatilia na kutathmini usalama na ufanisi wa bidhaa za dawa zilizoko sokoni.
  3. Kushiriki katika uchambuzi wa data kutoka kwa tafiti za ufuatiliaji wa moja kwa moja.
  4. Kuchunguza matukio mabaya makubwa yanayotokana na matumizi ya Chanjo (AEFI) na matukio yanayokidhi vigezo vya uchunguzi;
  5. Kujibu ripoti na malalamiko yanayohusiana na bidhaa zenye ubora duni;
  6. Kuwasiliana na kutoa maoni kwa wadau kuhusu shughuli za PMS;
  7. Kushiriki katika utayarishaji wa Miongozo na Taratibu Sanifu za Kiutendaji (SOPs).
  8. Kuandaa ripoti za utekelezaji wa viashiria (indicators) vya WHO Global Benchmarking Tools (GBT);
  9. Kutoa msaada wa kitaalamu ili kuboresha mifumo ya udhibiti na kuhakikisha inalingana na matakwa ya WHO Maturity Level 3
  10. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Sifa za Muombaji:

  • Awe ni Mzanzibari.
  • Awe amehitimu Shahada kwanza au Shahada ya pili ya Ufamasia kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Awe na uelewa wa viwango vya WHO GBT (Global Benchmarking Tool),
  • Awe na uzoefu wa kusimamia mpango wa uwiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kufikia kiwango cha Ukamilifu cha Shirika la Afya Duniani (WHO Maturity Level 3)
  • Uzoefu wa kazi ni sifa ya ziada.
REMUNERATIONZPSI-03



Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
1404

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
1135

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
1326

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
1615

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
1299

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
1301

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
877

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2025 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili