Commonwealth Scholarships Zanzibar
General Description
Source: MOEZ
Release date: 2019-01-09

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO ZA JUMUIYA YA MADOLA ZA MALKIA ELIZABETH (QUEEN ELIZABETH COMMONWEALTH SCHOLARSHIP)
NAFASI HIZO NI KWA NGAZI YA SHAHADA YA PILI (MASTER) KWA FANI ZIFUATAZO:-
- Arts and Humanities
- Medicine, Health and Life Sciences
- Physical Science, Engineering and Mathematics
- Social Science
Maombi yatumwe katika tovuti ifuatayo:-
https://www.acu.ac.uk/scholarships/queen-elizabeth-commonwealth-scholarships/
Mwisho wa kufanya maombi ni tarehe 6 Februari 2019.
Nakala ya fomu za maombi ziwasilishwe Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Mazizini, katika Kitengo cha Uratibu wa Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia chumba namba 57.

Promoted Ads
Other products
