FUNDI MAGARI DARAJA LA III-UNGUJA - 1 POST

General Description

Source: zan ajira



Release date: 2025-09-11



Duty Station: Unguja
6261 visits!... Deadline: 2025-09-17 15:30:00

POST DETAILS

POSTFUNDI MAGARI DARAJA LA III-UNGUJA - 1 POST
EMPLOYERMAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI
APPLICATION TIMELINE:From: 11-09-2025 To: 17-09-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

MAJUKUMU YA KAZI

  1. Kufundisha katika ngazi ya cheti kuanzia Level I hadi Level II.
  2. Kutayarisha mpangilio wa masomo wanayofundisha (Scheme of Work) kila mwisho wa mwaka au inapohitajika na kutayarisha “Lesson plans”, “Daily records” na “Lesson Notes”.
  3. Kutayarisha Assessment records.
  4. Kutayarisha na kusimamia mafunzo ya muda mfupi na semina mbali   mbali pale inapohitajika.
  5. Kutafuta na kubuni mbinu mbalimbali za kukuza na kuendeleza elimu katika fani na vyuo husika.
  6. Kutayarisha visaidizi vya mwalimu (teaching and learning materials/teaching adds).
  7. Kushiriki kazi za vitendo za darasani (Teaching Practise and students projects).
  8. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE

            Sifa za kuajiriwa

  1. Diploma au  FTC ya Ufundi Magari /Umeme wa magari au Cheti cha utambuzi wa Ujuzi  (RPL) unaolingana
  2.  Awe Mzanzibar
  3. Awe na Umri usiozidi miaka 45.
  4. Awe amesoma katika Chuo kinachotambulikana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
REMUNERATIONZPSF-09



Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
1404

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
1135

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
1326

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
1615

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
1299

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
1301

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
877

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2025 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili