Kufundisha katika ngazi ya cheti kuanzia Level I hadi Level II.
Kutayarisha mpangilio wa masomo wanayofundisha (Scheme of Work) kila mwisho wa mwaka au inapohitajika na kutayarisha “Lesson plans”, “Daily records” na “Lesson Notes”.
Kutayarisha Assessment records.
Kutayarisha na kusimamia mafunzo ya muda mfupi na semina mbali mbali pale inapohitajika.
Kutafuta na kubuni mbinu mbalimbali za kukuza na kuendeleza elimu katika fani na vyuo husika.
Kutayarisha visaidizi vya mwalimu (teaching and learning materials/teaching adds).
Kushiriki kazi za vitendo za darasani (Teaching Practise and students projects).
Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Sifa za kuajiriwa
Diploma au FTC ya Ufundi Magari /Umeme wa magari au Cheti cha utambuzi wa Ujuzi (RPL) unaolingana
Awe Mzanzibar
Awe na Umri usiozidi miaka 45.
Awe amesoma katika Chuo kinachotambulikana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar