Master and PhD Scholarships Alexandria University
General Description
Source: MOEZ
Release date: 2019-05-13
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO SHAHADA YA PILI NA YA TATU NCHINI MISRI KATIKA CHUO CHA "ALEXANDRIA" KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 KATIKA FANI ZA SAYANSI.
KWA TAARIFA ZAIDI NA JINSI YA KUFANYA MAOMBI TEMBELEA TOVUTI IFUATAYO:
NAKALA YA FOMU YA MAOMBI IWASILISHWE WIZARA YA ELIMU KATIKA KITENGO CHA URATIBU WA ELIMU YA JUU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA CHUMBA NAMBA 57.
MWISHO WA KUFANYA MAOMBI NI TAREHE 31, Mei 2019