Fumba Town
General Description
Fumba Town
Je unataka nyumba ya ndoto yako ya kuishi wewe na familia yako?
Basi kama ni ndio karibu tukuuzie nyumba za kisasa, na za ndoto yako ambazo zitakuwa zinaendendana na hadhi pamoja na thamani yako kwa bei nzuri ambayo utapata kilichobora.
Nyumba zetu ni nzuri mno, za kisasa, na mpya kabisa ambazo zimepakana na fukwe mwanana za marashi ya karafuu.
Karibu tukuhudumie kama unataka kwa ajili ya ofisi, makazi na hata biashra.
Hii ni zaidi ya unachokihitaji kwa maelezo unaweza kujaza link hapo https://bit.ly/3NA0H0t
Au kwa kuwasiliana nasi moja kwa moja.


Others
Promoted Ads
Other products
