Mhasibu Daraja la II-PEMBA - 2 POST

General Description

Source: Zan Ajira



Release date: 2024-02-28



Duty Station: Zanzibar
9600 visits!... Deadline: 2024-04-05 15:30:00

POSTMhasibu Daraja la II-PEMBA - 2 POST
EMPLOYERSHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA (ZSTC)
APPLICATION TIMELINE:From: 28-03-2024 To: 05-04-2024
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kuandaa hati za malipo
  2. Kuandaa taarifa za mapato na matumizi ya kila mwezi.
  3. Kufanya usuluhisho wa Hesabu za Benki.
  4. Kufanya shughuli zote za kiuhasibu kwenye kitengo cha Hesabu.
  5. Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu nay a mwaka.
  6. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa  kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  • Awe Mzanzibari
  • Asiwe muajiriwa wa Serikali.
  • Awe amemaliza Shahada ya kwanza ya Uhasibu, Uongozi wa Fedha au fani nyengine inayolingana nayo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • Awe na umri usiozidi miaka 45
  • Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
REMUNERATIONZPSI-06

 

Click here to Apply



Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
1404

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
1135

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
1328

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
1618

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
1302

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
1302

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
877

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2025 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili