Nafasi ya Kazi AFISA UHUSIANO DARAJA II - 1 POST

General Description

Source: ZanAjira



Release date: 2023-04-08



Duty Station: Zanzibar
17580 visits!... Deadline: 2023-04-15 01:42:00

POSTAFISA UHUSIANO DARAJA II - 1 POST
EMPLOYERWIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO
APPLICATION TIMELINE:From: 01-04-2023 To: 15-04-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kusaidia kutayarisha matangazo ya kuitangaza Taasisi kupitia vipeperushi, redio, magazeti na Makala.
  2. Kupokea malalamiko kwa wadau na wananchi kwa ujumla juu ya utendaji wa Taasisi;
  3. Kusaidia kufanya uchunguzi wa malalamiko yaliyowasilishwa kwa Taasisi;
  4. Kusaidia kuyatafutia ufumbuzi malalamiko yaliyowasilishwa.
  5. Kuandika ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka; na
  6. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibari.
  2. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhusiano wa Umma na Uhusiano wa Kimataifa kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATIONZPSE - 10



Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
1405

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
1137

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
1329

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
1619

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
1303

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
1303

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
878

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2025 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili