Nafasi ya Kazi Daktari wa Binadamu Daraja la II
General Description
Source: ZanAjira
Release date: 2023-02-14
Duty Station: Zanzibar
12960 visits!... Deadline: 2023-02-16 01:50:00
POST | DAKTARI WA BINAADAM DARAJA LA II - 33 POST |
EMPLOYER | WIZARA YA AFYA |
APPLICATION TIMELINE: | From: 28-01-2023 To: 16-02-2023 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | - Kufanya shughuli zote za utibabu, huduma za upasuaji wa dharura na upasuaji wa kawaida.
- Kusimamia wafanyakazi walio chini yake.
- Kuchunguza, kufatilia na kuzuia miripuko ya magonjwa mbali mbali.
- Kupanga na Kufanya tathmini ya huduma za afya.
- Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
- Kutoa huduma za “Outreach Programme”.
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | - Awe mwenye Shahada ya kwanza katika fani ya Tiba ya Binaadamu (Medical Doctor) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Awe amemaliza mafunzo ya vitendo (Internship) kwa muda wa mwaka mmoja katika hospitali zilizoteuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
- Awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari Zanzibar.
|
REMUNERATION | ZPSJ-09 |
KWA MAOMBI BONYEZA HAPA
Share via Whatsapp