Nafasi ya Kazi Katibu Muhtasi Daraja la III

General Description

Source: ZanAjira



Release date: 2023-11-05



Duty Station: Zanzibar
11346 visits!... Deadline: 2023-11-15 05:22:00

POSTKatibu Muhtasi Daraja la III-UNGUJA - 2 POST
EMPLOYERKAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR
APPLICATION TIMELINE:From: 02-11-2023 To: 15-11-2023
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kusaidia kupokea na kuwakaribisha wageni wa Ofisi.
  2. Kusaidia kupokea majalada na kuyagawa kwa Maafisa wanaohusika na shughuli za Ofisi yako.
  3. Kusaidia kutayarisha viburudishaji kwa wageni maalum wa Ofisi.
  4. Kufanyakazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe amehitimu Stashahada ya Kawaida (Ordinary Diploma) ya fani ya Uhazili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
  2. Awe mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arubaini na sita.
  3. Asiwe ameajiriwa katika taasisi nyengine za Serikali.
REMUNERATIONZPSG - 02



Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
1494

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
1259

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
1438

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
1769

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
1394

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
1391

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
943

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2026 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili