Nafasi za Kazi Afisa Miradi ya Afya Daraja I-UNGUJA - 2 POST

General Description

Source: Zan Ajira



Release date: 2025-03-30



Duty Station: Zanzibar
1475 visits!... Deadline: 2025-04-03 03:52:00

POSTAfisa Miradi ya Afya Daraja I-UNGUJA - 2 POST
EMPLOYERWIZARA YA AFYA
APPLICATION TIMELINE:From: 13-03-2025 To: 03-04-2025
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Kuratibu utekelezaji wa mpango wa kukuza Uchumi na kupunguza umasikini.
  2. Kutayarisha mapendekezo ya Sera na Mipango ya Miradi katika sekta mbalimbali.
  3. Kutoa ushauri wa maeneo ya kuelekeza utekelezaji wa Miradi ya maendeleo.
  4. Kubuni Miradi ya maendeleo katika maeneo/sekta inayohitajika.
  5. Kufanya uchambuzi wa kiutendaji wa Miradi iliyopo Wizarani/Idarani/sekta.
  6. Kuratibu makisio ya Mapato na matumizii.
  7. Kufuatilia fedha za matumizi ya uendeshaji wa Miradi kama ilivyokubaliwa katika bajeti.
  8. Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
  9. Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  1. Awe Mzanzibari mwenye Umri usiozidi miaka 46
  2. Awe amehitimu Shahada ya pili katika fani ya “Master of Project Planning and Management or Master in Project Management, Monitoring and Evaluation in Health” kutoka katika Chuo  kinachotambuliwa na Serikali.
  3. Awe na vyeti halisi vya kumalizia masomo na cheti cha kuzaliwa.
REMUNERATION(ZPSH – 04)



Share via Whatsapp

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2025 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili