Nafasi ya Kazi ya Fundi Umeme
General Description
Source: ZanAjira
Release date: 2023-04-28
Duty Station: TANZANIA
7332 visits!... Deadline: 2023-04-30 03:51:00
POST | FUNDI UMEME DARAJA LA III - PEMBA - 1 POST |
EMPLOYER | OFISI YA RAIS - IKULU |
APPLICATION TIMELINE: | From: 14-04-2023 To: 30-04-2023 |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | - Kutia fitting mpya za wire wa umeme.
- Kuzifanyia ukarabati fitting kongwe.
- Kufunga main switch circuit braker swich socket na vifaa vyengine vya umeme.
- Kufanya marekebisho yanayohitajika pale panapotokezea maharibiko yaliyosababishwa na hitilafu la umeme.
- Kufanya kazi nyengine yeyote inayohusiana na masuala ya matengenezo au marekebisho ya umeme.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake.
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | - Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka arubaini na sita (46)
- Awe mwenye Stashahada au ya ufundi umeme kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
|
REMUNERATION | ZPSD - 03 |
KWA MAOMBI GUSA HAPA
Share via Whatsapp