Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka
Kukagua mapato na matumizi ya Fedha za Shirika.
Kuhakikisha Sheria, Kanuni na Taratibu za masualanya usimamizi wa fedha zinafuatwa katika utekelezaji wa kazi zaShirika
Kuhakikisha udhibiti na matumizi mazuri ya fedha na mali za Shirika
Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Awe Mzanzibari
Asiwe muajiriwa wa Serikali.
Awe amemaliza Shahada ya kwanza ya Uhasibu, Uongozi wa Fedha au fani nyengine inayolingana nayo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.