Nafasi ya kazi Mthamini Daraja la II-UNGUJA
General Description
Source: Zan Ajira
Release date: 2025-01-04
Duty Station: Zanzibar
2950 visits!... Deadline: 2025-01-18 15:30:00
POST | Mthamini Daraja la II-UNGUJA - 1 POST |
---|
EMPLOYER | Ofisi ya Msajili wa Hazina |
---|
APPLICATION TIMELINE: | From: 03-01-2025 To: 18-01-2025 |
---|
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | Majukumu - Kukusanya taarifa za soko la bidhaa au mali kwa ajili ya kufanya makisio ya thamani ya soko la mali inayotaka kuuzwa.
- Kusaidia kuandaa makisio ya thamani ya soko la mali inayotaka kuuzwa.
- Kusaidia kuhakikisha sheria na taratibu mbali mbali za kuuza na uondoaji wa mali za umma.
- Kuandaa ripoti za kazi za uthamini.
- Kuandaa taarifa ya utekelezaji ya robo, nusu na mwaka na kuwasilisha kwa mkuu wake.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atavyopangiwa na mkuu wake.
|
---|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Awe mzanzibari mweny umri usiozidi miaka 46. Awe amehitimu Shahada ya kwanza ya Uthamini kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali. Aidha, awe amesajiliwa na kupata leseni katika mamlaka inayohusika. |
---|
REMUNERATION | ZPSH-10 |
---|
BOFYA HAPA KUONA MAELEZO NA KUFANYA MAOMBI
Share via Whatsapp