Nafasi za Kazi Chuo cha Utawala wa Umma (IPA)
General Description
Source: Utumishi Zanzibar
Release date: 2019-07-05
CHUO CHA UTAWALA WA UMMA ZANZIBAR KINATANGAZA NAFASI ZA KAZI KAMA HIVI IFUATAVYO:-
NAFASI YA KAZI
1. Afisa Tehama “Nafasi Mbili (2)”
Sifa za Muombaji.
• Awe Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Kompyuta Science, Uhandisi wa Kompyuta, au Kompyuta Software kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2. Afisa Utumishi “Nafasi Moja (1)”
Sifa za Muombaji.
• Awe Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Usimamizi wa Rasilimali Watu au Utawala wa Umma kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
3. Afisa Mitihani “Nafasi Tatu (3)”
Sifa za Muombaji.
• Awe Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Elimu na Lugha kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
4. Muingiza Data “Nafasi Moja (1)”
Sifa za Muombaji.
• Awe Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhasibu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
5. Karani Masjala “Nafasi Mbili (2)”
Sifa za Muombaji.
• Awe Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
6. Muangalizi wa Ofisi “Nafasi Moja (1)”
Sifa za Muombaji.
• Awe Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Usimamizi wa Rasilimali Watu au Utawala wa Umma kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
7. Mtunza ghala “Nafasi Moja (1)”
Sifa za Muombaji.
• Awe Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Material Magagement au Ununuzi na ugavi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
8. Mkutubi “Nafasi Mbili (2)”
Sifa za Muombaji.
• Awe Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Maktaba kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Chuo Cha Utawala Wa Umma,
S.L.P. 1179,
Tunguu,
Zanzibar.
• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Chuo cha Utawala wa Umma, Tunguu, Zanzibar wakati wa saa za kazi.
Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo.
b) Kivuli cha Cheti cha Mtihani wa Taifa (Eilimu ya Sekondari).
c) KivuIi cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport size iliyopigwa karibuni.
f) N.B: Atakaewasilisha ‘Statement of Result’ au ‘Progressive Report’ maombi yake hayatazingatiwa.
g) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 12 Julai, 2019 wakati wa saa za kazi.