Nafasi za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

General Description

Source: Utumshi Tanzania



Release date: 2021-05-26


Download


Duty Station: Tanzania/USA
27678 visits!... Deadline: 2021-06-02 15:30:00

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

page1image2805322000

OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na EA.7/96/01/L/116 21 Mei, 2021 

 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi kumi (10) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

1.0 MWAJIRI: OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI (NAOT) 1.0.1 MKAGUZI DARAJA LA II - (NAFASI 10)
1.0.2 MAJUKUMU YA KAZI

  1. Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;
  2. Kushiriki kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mpango wa kazi wa ukaguzi kila mwaka;
  3. Kushiriki kufanya tathmini ya mpango wa kazi na kupendekeza mabadiliko inapobidi kulingana na tathmini ya taarifa ya utekelezaji ya mpango wa kazi;
  4. Kuhakikisha kuwa hoja na barua za ukaguzi zinatolewa na kushughulikiwa kwa wakati unaotakiwa;
  5. Kushiriki kutayarisha na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit Programme;
  6. Kushiriki kupanga na kuratibu mpango wa kazi za ukaguzi;
  7. Kutayarisha hoja na barua za ukaguzi; na
  8. Kutunza daftari za kumbukumbu mbalimbali za hesabu katika kituo chake kwa maelekezo ya kiongozi mahali pa kazi

 TAFADHALI DOWNLOAD PDF FILE HAPA KWA MAELEZO ZAIDI



Download

Share via Whatsapp

Others

Promoted Ads

No preview available
Highheels
792

Visits

TZS 25,000
No preview available
Dishdash
509

Visits

TZS 20,000
No preview available
Night dress
521

Visits

TZS 8,000
No preview available
saa za kike
586

Visits

TZS 15,000
No preview available
vyetezo vya umeme
517

Visits

TZS 10,000
No preview available
maua
449

Visits

TZS 7,000
No preview available
bulb
316

Visits

TZS 3,000

+ Tafadhali weka maoni yako hapa..

Advertise with us

© 2025 Zenji Shoppazz . All rights reserved | Design by W3layouts and Zenji Shoppazz Choose language : Kiswahili