Nafasi za Kazi TAFIRI na Wizara ya Mifugo na Uvuvi
General Description
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Kumb.Na.EA.7/96/01/L/122 26 Mei, 2021
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) na Wizara ya Mifugo na Uvuvi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi nne (4) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili;-
TAFADHALI PAKUA FAILI LA PDF HAPA KWA MAELEZO ZAIDI