Nafasi za Kazi Wizara ya Ardhi
General Description
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kama ifuatavyo:-
1. Muhandisi Ujenzi (Civil Engineers) Daraja la II “Nafasi 1” – Unguja
“Nafasi 1 Pemba”
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhandisi Ujenzi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
2. Muhandisi Ujenzi Msaidizi Daraja la III “Nafasi 1” -Unguja na “Nafasi 1” - Pemba
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Stashahada katika fani ya Uhandisi Ujenzi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
3. Msanifu Majengo (Architect Building) Daraja la II “Nafasi 3” – Unguja na “Nafasi 1” - Pemba
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Msanifu Majengo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
4. Mkadiriaji Majengo (Quantity Survey) Daraja la II “Nafasi 2” – Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Ukadiriaji Majengo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
5. Muhandisi Umeme (Electrical Engineer) Daraja la II “Nafasi 2” - Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani Uhandisi Umeme kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
6. Real Estate Managment Daraja la II “Nafasi 2” – Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Usimamizi wa Majengo na Uwekezaji kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
7. Muhandisi Mitambo (Mechanical Engineer) Daraja la II “Nafasi 1” – Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhandisi Mitambo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
8. Muhandisi Compyuta (Computer Engineer) Daraja la II “Nafasi 1” - Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Muhandisi Computer kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
9. Geo Imformatics (Land Surver) Daraja la II “Nafasi 1” - Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya “Geo Informatics” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
10. Mthamini Majengo Daraja la II “Nafasi 1” - Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Uthamini (Land Management and Valuation) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
11. Mthamini Daraja la II “Nafasi 1” - Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika katika fani Uthamini (Land Management and Valuation) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
12. Mthamini Msaidizi Daraja la III “Nafasi 2” - Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Stashahada katika katika fani ya “Land Management and Valuation” kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
13. Afisa Takwimu Daraja la II “Nafasi 1” - Unguja
Sifa za Waombaji:
? Awe ni Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita (46).
? Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya Kuomba:
? Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa Kielektronic wa maombi ya ajira (Zanajira) kupitia anuani ifuatayo:- http://portal.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2022 hadi tarehe 04 Novemba, 2022.
? Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S.L.P. 1587,
ZANZIBAR.
? Muombaji anatakiwa kuanisha nafasi ya kazi aliyoombea
Kwa msaada wa kitalamu wasiliana na Tume ya Utumishi Serikalini kupitia email: helpdesk@zanajira.go.tz au Simu Nam. 0773101012.